Huu ugonjwa wa Gastritis sasa unanitesa mno

Hapa mtaani upo huo mti, sija jua tuu namna ya kuandaa huo unga, itabidi nijifunze namna ya kuuandaa. Asante sana nimefarijika mno
Kaombe hayo majani kwa jirani yawe mengi then tafuta sehemu safi ndani uyaanike yasipigwe na jua, ukaukaji wake unachukua siku nyingi kwasababu hayatakiwi kukaushwa juani, ukiona yameshakua makavu twanga then chekecha upate unga laini utakua tayari kwa tiba.. unaweza kutumia kwenye maji ya moto, uji au chai, wengine wanachanganya na asali kwa matokeo mazuri zaidi
 
Ila huo unga wa mlonge niliutengenezaga mwingi nikatumia ukanisaidia sana after kupona nikauacha unazagaa tu then leo nakuta habari kijiko kinauzwa buku!? kumbe nachezea fursa ngoja niingie chimbo🤣
 
Kaombe hayo majani kwa jirani yawe mengi then tafuta sehemu safi ndani uyaanike yasipigwe na jua, ukaukaji wake unachukua siku nyingi kwasababu hayatakiwi kukaushwa juani, ukiona yameshakua makavu twanga then chekecha upate unga laini utakua tayari kwa tiba.. unaweza kutumia kwenye maji ya moto, uji au chai, wengine wanachanganya na asali kwa matokeo mazuri zaidi
Asante sana Mkuu kwa maelezo yaliyo fresh.
 
Mkuu pole sana,mimi huo ugonjwa kwa mwaka 2016-2020 umenitembeza sana hospital,ndanda hospital,(mtwara) baada ya kupewa referral kutoka Liwale-Lindi,ndanda walishindwa, ni kaandikiwa kwenda Mhimbili huko nilibainika kuwa na ugonjwa /tatizo kama lako,nilipewa dawa nyingi sana,zingine zilitaka kuniua.

Tatizo halikusha,ikabindi niende aghakani hospital,wapi,nikaenda hindu mandal-Mwanza wapi,nikaenda bugando hospital nikakutana na Doctor majimbe, niseme huyu ndo alikuwa chanzo cha mimi kupata nafuu,alinishauri kuhusu lishe,kula kwa wakati, sikupewa dawa nyingi sana ,pia alinikataza kunywa soda,kula maharage,maziwa,ndizi kwa namna zake,sukari nyingi kupita kiasi,pia kutoruhu hasira na huzuni ndani ya moyo wangu.

Baadae tatizo lilirudi tena,nikakutana na mtu akanishauri nitumie mlonge,ikumbukwe kwa wakati huo,nilizuiliwa kunywa soda, ndizi hapana,mboga iliyoungwa kwa viungo vingi hasa nyanya hapana,maharage, dagaa ,chakula kilicho lala nk.baada ya kutumia mlonge wa kununua kwa mwezi mzima nikianza kupata nafuu,nikaamua kuupanda huu mti nyumbani kwangu,nikaendeleza doazi kwa miezi miwili mfululizo ,hiyo ilikuwa kwaka 2021.

Baada ya hapo nikaanza kula maharage,maziwa nakunywa soda,dagaa nakula bila shida nk.

Ushauri wangu ni kuwa utashauriwa kuuziwa madawa mengi sana ya kienyeji lakini ni bure maana yanaweza kukuletea shida nyingine,hivyo mmea ambao madhara yake hayajathibitishwa kisayansi,kwani hata hao wanasansi wana usifu hadi sasa ni mlonge ,utumie huu mmea uone ,naimani utapona kabisa.

Mimi sasa nakula kila kitu ambapo hapo awali nilizuiliwa
Milonge nimepanda mingi sana ila wanakula tu mbuzi mimi naicha siitumii kumbe ni dawa nzuri.
 
1. Kuanzia leo anza kutengeneza maji ya bamia yaani unachukua bamia zile unakatata unazitia ndani ya jagi lenye maji kuanzia lita mbili au tatu unaweka kwenye friji kama umeziloweka hivi.

Asubuhi ukiamka unakunywa glass moja kwenye tumbo kavu. Kunywa taratibu kidogo kidogo sana ili usipatwe kichefu chefu. Then mengine unywe mchana kabla ya kula chakula kwenye tumbo kavu lile la njaa.

Na kila muda ukisikia hayo maumivu makali kunywa hayo maji ya bamia utakayotengeza kila wakati. Hakikisha unakunywa zaidi kwenye tumbo kavu.

Bamia itakusaidia kuirepair kuta za tumbo au utumbo ambazo zimeathiriwa na acid tumboni na kusaidia kuvipa vidonda layers repair.

2. Kula matikiti maji especially kabla ya chakula. Ule kwa kadiria ya uwezo wako. Tikiti maji lina maajabu ya kuwa na maji mengi ambayo kwa components zake yatapenya hadi nandi kabisa ya tissues zako mbali mbali mwilini na kuupa mwili supply ya maji haraka kuliko ukiyanywa haya ya kawaida. Maji ya tikiti yatakusaidia ku neutralize acid na kuipunguza nguvu katika level ya damu na hivyo kuanza taratibu kuzima makali yake huku ikiitokomeza.

Kula matikiti maji na juice yake kadiri unavyoweza usikatie tamaa fululiza hata miezi ukiyala utapata nafuu yako.

3. Achana na chai ya rangi, juice au vinywaji vya kiwandani especially soda hizi kama Pepsi, coca-cola, sijui mo energy bia zote unazozijua yaani kinywaji chochote cha kiwandani achana na nacho usiguse ndio sumu. Maji haya ya kununua ya chupa si salama kwako. Tumia sana maji ya nyumbani ya kuchemsha au kata kiu na tikiti maji au tikiti lenyewe kama nilivyokuelekeza pale juu.

4. Ukipikiwa au kupika mboga yoyote itakayotiwa nyanya then hakikisha mpishi au wewe mwenyewe unaweka kitunguu swaumu kingi sana sababu kitunguu swaumu kinakata acid ya nyanya na kuifanya less effective mwilini.

5. Achana na hizo dawa za anti acid huwa ukiacha zinasababisha acid inarudi kwa kasi sana mwilini so achana nazo na zingatia chakula sana.

6. Mboga za majani kama mchicha, spinach, na mboga mboga zinginezo ziwe sehemu kubwa ya lishe yako kwa kifupi anza kuwa vegetarian kuanzia sasa.

Ukifanya hivi kwa muda wa mwaka, ukiendelea kuumwa nitafute tupigane.
 
Kabla ya kula kwa maana tumbo likiwa empty au baada ya kula ndiyo ninywe iyo dawa, maana dawa nyingine si unajua zina masharti uta ambiwa kula kwanza au nyingine usile kwanza. na kama kuna tahadhari nyingine juu ya hiyo dawa naomba niambie ili nianze hiyo dozi. Pia swali langu naweza tumia huo mlonge uku nikiendelea kumeza hii dawa ya hospital ya antiacid au wewe ulikuwa hautumii kabisa antiacid. Asante sana
Achana na hizo dawa za hospital.
 
Kunywa maji ya birika lako mwenyewe kama wewe ninmwanamme na kama ni mwanamke kunywa ya kisima chako mwenyewe kama aandikivyo mfalme Suleiman mithali 5:15,

Hiyo ni tiba ya urine therapy inayotumiwa na wachina na wahindi Kwa miaka mingi sana!!

Unakunywa ule was asubuhi na mapema saa kumi na mbili,au na Moja au saa kumi hata lita Moja au nusu lita! Kutikana na uwezo wako!!

Hakuna hospital inayotibu vidonda vya tumbo zaidi ya kutuliza TU vina rudi!

Kunywa Kwa siku saba!

Case study;-

Nilikua naamka usiku wa mane tumbo linauma na kukata sana yaani silali Hadi asubuhi,siku moja staff member akaniambia hebu kunywa Omeprazole likitulia ujue ni vidonda vya tumbo!

Bas siku nikanywa likatulia nikajua ni huo mzigo!

Nilichaeki Makala YouTube ya tiba ya mkojo wako mwenyewe nikaona kinyaa,then nikagoogle urine therapy nikakuta andiko na mzungu mmoja alianzisha huo utaratibu na wachina na wazee was zamani walitumia sana,nilitumia hiyo kitu Hadi leo sijahisi maumivu tena!!
Acha uchafu wewe. Chukua mkojo wako wa asubuhi nenda nao maabara halafu mwambie yuke lab technician akuonyeshe kilichopo kwenye mamikojo yako.

Ndio maana mnaleta maradhi ya ajabu mengine hata hayajulikani majina yake sababu ya kuendekeza ushirikina.

Wewe mwili umechuja taka mwili zake ukatengeneza mkojo kama content ya uchafu halafu wewe unaurudisha tena mwilini hivi wewe unakuwa na utimamu wa akili kweli?

Yaani mkojo ni uchafu wewe unarudisha mwilini ili iweje kama sio unataka kuua hizo figo zako na kuleta maradhi chronic kwenye damu yako. Ndio nyie unashangaa unapata kansa ya damu mara mkanda wa jeshi hujui umeanzia wapi kumbe ni uchafu kama huo unaosuggest mtu afanye.
 
Hapa mtaani upo huo mti, sija jua tuu namna ya kuandaa huo unga, itabidi nijifunze namna ya kuuandaa. Asante sana nimefarijika mno
Sikushauri uhangaike na mambo ya miti shamba. Sababu kinachokusumbua wala si ugonjwa wa kuambikiza bali ni matokeo ya utaratibu mbaya tu wa kula vyakula bila kuzingatia balance inayohitajika mwilini.

Mlonge longe ni mti tu na unalishe ya kawaida ambayo ina benefits mwilini, tumia tu kama kichangizi cha tiba ila sio utegemee ni dawa kwa asilimia 100% .

Focus yako kwa sasa iwe ni kutia mwilini vyakula ambavyo vinapambana na utengenezaji wa haraka wa tindikali ambayo ndio inakutesa. It means umekuwa unakula vyakula acidic kwa muda mrefu bila balance.

Unakuta mtu asubuhi anakunywa chai ya rangi na maandazi, mchana anakunywa Pepsi au coca-cola zaidi ya tatu, usiku anakula wali au ugali maharage na nyama ya mchuzi au samaki wa mchuzi wa nyanya, na huo utaratibu ni kila siku, mara beer. Ukishikwa kiu unakunywa yale maji ya dukani haya ya kununua ambayo kwa miaka hii mengi yanatengenezwa vichochoroni ma wahuni wanaoyaweka dawa ambazo hazizingatii viwango na yanakaa sana store kiasi kwamba dawa zinareact na joto na kuleta madhara mwilini kama hayo unayopata.

Badili tu utaratibu wa kula utaona majibu haraka sana. Nakusisitiza vinywaji vya kiwandani ikiwamo soda, juice, bia achana navyo kabisa.
 
Aante sana mkuu
Kama upo dar, ukiwa unakuja bagamoyo kipandr kidogo kabla ya kufika bagamoyo mjini kuna sehemu inaitwa Kitopeni. Hapo milonge ni mingi sana ipo imezagaa tu barabarani. Unaweza chuma bure kabisaa.
. Ubarikiwe
 
Sikushauri uhangaike na mambo ya miti shamba. Sababu kinachokusumbua wala si ugonjwa wa kuambikiza bali ni matokeo ya utaratibu mbaya tu wa kula vyakula bila kuzingatia balance inayohitajika mwilini.

Mlonge longe ni mti tu na unalishe ya kawaida ambayo ina benefits mwilini, tumia tu kama kichangizi cha tiba ila sio utegemee ni dawa kwa asilimia 100% .

Focus yako kwa sasa iwe ni kutia mwilini vyakula ambavyo vinapambana na utengenezaji wa haraka wa tindikali ambayo ndio inakutesa. It means umekuwa unakula vyakula acidic kwa muda mrefu bila balance.

Unakuta mtu asubuhi anakunywa chai ya rangi na maandazi, mchana anakunywa Pepsi au coca-cola zaidi ya tatu, usiku anakula wali au ugali maharage na nyama ya mchuzi au samaki wa mchuzi wa nyanya, na huo utaratibu ni kila siku, mara beer. Ukishikwa kiu unakunywa yale maji ya dukani haya ya kununua ambayo kwa miaka hii mengi yanatengenezwa vichochoroni ma wahuni wanaoyaweka dawa ambazo hazizingatii viwango na yanakaa sana store kiasi kwamba dawa zinareact na joto na kuleta madhara mwilini kama hayo unayopata.

Badili tu utaratibu wa kula utaona majibu haraka sana. Nakusisitiza vinywaji vya kiwandani ikiwamo soda, juice, bia achana navyo kabisa.
Asante sana Mkuu. Nime kuelewa vizuri sana. Nime kuwa nikijitahidi sana kibadilisha vyakula naona matokea siyo mabaya mkuu. Nita endelea kukazia mpaka kieleweke.
Asante sana
 
1. Kuanzia leo anza kutengeneza maji ya bamia yaani unachukua bamia zile unakatata unazitia ndani ya jagi lenye maji kuanzia lita mbili au tatu unaweka kwenye friji kama umeziloweka hivi.

Asubuhi ukiamka unakunywa glass moja kwenye tumbo kavu. Kunywa taratibu kidogo kidogo sana ili usipatwe kichefu chefu. Then mengine unywe mchana kabla ya kula chakula kwenye tumbo kavu lile la njaa.

Na kila muda ukisikia hayo maumivu makali kunywa hayo maji ya bamia utakayotengeza kila wakati. Hakikisha unakunywa zaidi kwenye tumbo kavu.

Bamia itakusaidia kuirepair kuta za tumbo au utumbo ambazo zimeathiriwa na acid tumboni na kusaidia kuvipa vidonda layers repair.

2. Kula matikiti maji especially kabla ya chakula. Ule kwa kadiria ya uwezo wako. Tikiti maji lina maajabu ya kuwa na maji mengi ambayo kwa components zake yatapenya hadi nandi kabisa ya tissues zako mbali mbali mwilini na kuupa mwili supply ya maji haraka kuliko ukiyanywa haya ya kawaida. Maji ya tikiti yatakusaidia ku neutralize acid na kuipunguza nguvu katika level ya damu na hivyo kuanza taratibu kuzima makali yake huku ikiitokomeza.

Kula matikiti maji na juice yake kadiri unavyoweza usikatie tamaa fululiza hata miezi ukiyala utapata nafuu yako.

3. Achana na chai ya rangi, juice au vinywaji vya kiwandani especially soda hizi kama Pepsi, coca-cola, sijui mo energy bia zote unazozijua yaani kinywaji chochote cha kiwandani achana na nacho usiguse ndio sumu. Maji haya ya kununua ya chupa si salama kwako. Tumia sana maji ya nyumbani ya kuchemsha au kata kiu na tikiti maji au tikiti lenyewe kama nilivyokuelekeza pale juu.

4. Ukipikiwa au kupika mboga yoyote itakayotiwa nyanya then hakikisha mpishi au wewe mwenyewe unaweka kitunguu swaumu kingi sana sababu kitunguu swaumu kinakata acid ya nyanya na kuifanya less effective mwilini.

5. Achana na hizo dawa za anti acid huwa ukiacha zinasababisha acid inarudi kwa kasi sana mwilini so achana nazo na zingatia chakula sana.

6. Mboga za majani kama mchicha, spinach, na mboga mboga zinginezo ziwe sehemu kubwa ya lishe yako kwa kifupi anza kuwa vegetarian kuanzia sasa.

Ukifanya hivi kwa muda wa mwaka, ukiendelea kuumwa nitafute tupigane.
Nitarud ngoja nikafuturu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Sikushauri uhangaike na mambo ya miti shamba. Sababu kinachokusumbua wala si ugonjwa wa kuambikiza bali ni matokeo ya utaratibu mbaya tu wa kula vyakula bila kuzingatia balance inayohitajika mwilini.

Mlonge longe ni mti tu na unalishe ya kawaida ambayo ina benefits mwilini, tumia tu kama kichangizi cha tiba ila sio utegemee ni dawa kwa asilimia 100% .

Focus yako kwa sasa iwe ni kutia mwilini vyakula ambavyo vinapambana na utengenezaji wa haraka wa tindikali ambayo ndio inakutesa. It means umekuwa unakula vyakula acidic kwa muda mrefu bila balance.

Unakuta mtu asubuhi anakunywa chai ya rangi na maandazi, mchana anakunywa Pepsi au coca-cola zaidi ya tatu, usiku anakula wali au ugali maharage na nyama ya mchuzi au samaki wa mchuzi wa nyanya, na huo utaratibu ni kila siku, mara beer. Ukishikwa kiu unakunywa yale maji ya dukani haya ya kununua ambayo kwa miaka hii mengi yanatengenezwa vichochoroni ma wahuni wanaoyaweka dawa ambazo hazizingatii viwango na yanakaa sana store kiasi kwamba dawa zinareact na joto na kuleta madhara mwilini kama hayo unayopata.

Badili tu utaratibu wa kula utaona majibu haraka sana. Nakusisitiza vinywaji vya kiwandani ikiwamo soda, juice, bia achana navyo kabisa.
Kwani akila nyama isiyo na viungo kuna tatizo ?
 
Pole sana,nilitaka kupitiliza ila nafsi imeniambia hapana fanya kitu maana ulipo nilikua hivyo,maumivu unayopata nayajua,huu ndio msaada wangu kwako na naomba uamini maana najua utakua umeshakunywa dawa nyingi,mpigie huyo 0684 84 08 29 anauza dawa ya vidonda bei nafuu sana,unaweza kununua hata kopo moja moja ila kabla kopo halijaisha ongeza lingine,tumia kama makopo 8 hivi.Na tumia kwenye uji asubuh na jion,uji ukolee dawa,na usiwe mvivu kunywa dawa sio chungu pia usiogope,imeisha hiyo kila la kheri ushindwe wewe tu.
 
Kunywa maji ya birika lako mwenyewe kama wewe ninmwanamme na kama ni mwanamke kunywa ya kisima chako mwenyewe kama aandikivyo mfalme Suleiman mithali 5:15,

Hiyo ni tiba ya urine therapy inayotumiwa na wachina na wahindi Kwa miaka mingi sana!!

Unakunywa ule was asubuhi na mapema saa kumi na mbili,au na Moja au saa kumi hata lita Moja au nusu lita! Kutikana na uwezo wako!!

Hakuna hospital inayotibu vidonda vya tumbo zaidi ya kutuliza TU vina rudi!

Kunywa Kwa siku saba!

Case study;-

Nilikua naamka usiku wa mane tumbo linauma na kukata sana yaani silali Hadi asubuhi,siku moja staff member akaniambia hebu kunywa Omeprazole likitulia ujue ni vidonda vya tumbo!

Bas siku nikanywa likatulia nikajua ni huo mzigo!

Nilichaeki Makala YouTube ya tiba ya mkojo wako mwenyewe nikaona kinyaa,then nikagoogle urine therapy nikakuta andiko na mzungu mmoja alianzisha huo utaratibu na wachina na wazee was zamani walitumia sana,nilitumia hiyo kitu Hadi leo sijahisi maumivu tena!!
Magumashi.
 
Back
Top Bottom