Huu ugonjwa wa "kutetemeka" kuishiwa nguvu mabinti wa shule

Wewe ndio umeongea kitu cha maana. Hao wanachanganya chekelea na kutetemeka miguu na kushindwa kutembea vizuri. Ugonjwa huo unahusisha ubongo na misuli sio nyege
 

Watu wanahisi upwiru kuuondoa kwa wanafunzi mpk wadinywe [emoji23][emoji23]kuna ile hali tu ya kugusana, movement na ile kuona jinsia nyingine unajikuta umepata relief mpaka hali iyo irudi tena likizo ishafika [emoji1][emoji1]
 
Watu wanahisi upwiru kuuondoa kwa wanafunzi mpk wadinywe [emoji23][emoji23]kuna ile hali tu ya kugusana, movement na ile kuona jinsia nyingine unajikuta umepata relief mpaka hali iyo irudi tena likizo ishafika [emoji1][emoji1]
Sahihi Mkuu, ile hali ya kuona sketi tu ilikuwa Tiba tosha kwetu miaka ile 🤗
 
Wakat niko seminarini kila akipita msichana/mwanamke campus tuliona ni pisi kali. Kwa sasa ndo najua tulkuwa chaka sana.
 
si ni nyegezi tu hizo wenzao wakishaona hivyo wanaandaa kijisherehe waanaalika shule za boys mnaekewa disco
Nilikuwa sijaelewaga hii kumbe[emoji23][emoji23][emoji23],
 
Mwarabu alituletea alipokuja kwenye ukoloni alituletea viumbe visivyoonekana na kaviacha bongo bado Kuna watu wanavimiliki
 
Mbona zinawapata tu watoto wa shule?

Huku mitaani kuna wasichana kibao wanaojistiri vizuri lakini mbona hili tatizo hawana?
Unajuaje kama mtaani hawapati? Wanapata ila sababu ni mmoja kwa hiyo inakuwa sio epidemic... wadada wakikaa wengi sehemu moja na hivyo kushare matatizo ya aina moja ni rahisi dalili za mgonjwa WA kwanza zikawa copied na wengine wanaofuata, hence mass hysteria
 
Hapa ndo kwenye jibu la msingi sasa kwingine uswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…