Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Wewe ndio umeongea kitu cha maana. Hao wanachanganya chekelea na kutetemeka miguu na kushindwa kutembea vizuri. Ugonjwa huo unahusisha ubongo na misuli sio nyegeHapana, sio nyege ni matatizo ya mfumo wa fahamu au misuli.
Kwa maeneo ya shuleni mi naweza kusema ku-shake kwa miguu ni mwili unajaribu kupunguza/kuachia stress(stress-reliever) ambazo zimekusanyika mwilini.
Sioni uhusiano na nyege kweny hili tatizo.