Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

umefeli pakubwa demu huwa achambwi ,ungempatia tu pesa ya kusuka kisha ungepiga kimya angeja tu kwenye mfumo mwenyewe
 
Honga wewe....hakuna cha bure....😂😂😂😂
 
Kwahiyo wewe ni mwekezaji upande wa usafirishaji abiria kwa pikipiki. Anyway huwa ipo hivyo
 
kikubwa ni kutimiza lengo usiangalia nini ulishaspend kwa ajili yake wewe endelea kumuhudumia hadi siku ajae kwenye mfumo
 
Man Down, need back up.!!

Kiufupi umechelewa sana and you're a loser

I repeat, man down.!!
 
Mniletee samaki anayepaa🤣🤣🤣
We dj uongeza sauti kudadeki,' niko na shemeji yako nyuma kama pikapu imepigwa jeki, we djeeeey ongeza sauti kudadeki , halafu tuzimie taaaa☺️, tushike viuno vyenye sketi 🎵 🎶 eeeeh hakuna mchaga mshamba×2 😂😂😂😂😂
 
Mmekutana akili zinafanana...
Endeleeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…