SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Mkesha umefana sana,maneno ya mkuu wa mkoa yalikuwa na roho wa Mungu ndani yake,kama chizi atoki kwenye familia yako unaweza ukacheka hata nyie mnaoponda ni kwa vile tu mmevimbwira na shibe na kiburi cha uzima walokuwa pale ni watu ambao hawana mlivyo navyo wengi wao wametumia kila mbinu wameshindwa wameamua kumkimbilia Mungu.nyie kwa vile chizi atoki kwenye familia zenu ongeeni mtakavyo Mwamposa ni nabii anayekubalika nyumbani na ugenini Jina la Bwana litukuzwe