Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

ingekuwa ni nyomi ya ZUCHU na Mondi hapo ungetoa sifa kedekede we jingalao!

These people did not commit any crime you Son of a beach!

Let God be God we are healing our problems through him
But all the time, God uses humans to solve your problems.
 
Sihangaika na wewe hii forum lazima ujibiwe kama unaongea utumbo ukitaka usijibiwe usi-comment
Na wewe ukitaka tusimkosoe huyo Mungu wako usimuongelee hapa kwenye open forum.

Kama hutaki kusikia huyo Mungu wako namkosoa usilete habari zake hapa JF.

Baki na hizo habari za huyo Mungu moyoni mwako au hukohuko kwenye nyumba zenu za ibada.
Hata ukisema Mungu hayupo kwangu mimi sio tatizo sababu wewe sio wa kwanza kusema hivyo na uhuru huo
Nakushangaa unavyowaattack watu kwa maamuzi waliyoyafanya kwenye maisha yao
Hata wewe naku shangaa unavyo umia tukisema huyo Mungu wako hayupo.
 
CCM ndo inapenda. Mambo ambayo haifanyi inasema ni mpango wa Mungu.
 
Hata mm nilikuwepo Ila sijafata miujiza. Nimeenda kusifu, kuimba na kuabudu.
 
ingekuwa ni nyomi ya ZUCHU na Mondi hapo ungetoa sifa kedekede we jingalao!

These people did not commit any crime you Son of a beach!

Let God be God we are healing our problems through him
Ukweli ni kwamba hiyo dalili ya ujinga wa hali ya juu sana
 
Watu wanao ongoza kuwaibia Wafuasi wao ni Wanamuziki.
Wanafuata wanasiasa
Wanafuata wanamichezo
Wanafuata waganga wa kienyeji (wale wapiga ramli)
Na hawasemwi hivi.
 
Kuamini kwako kuna Mungu wala hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.

Ni imani yako tu, Na msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Hukatazwi kuwa na imani yako ila Ukianza kudai imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Bhas we aminn unavyojua wew ila Mungu yupo jana,leo na hata milele full stop!
 
Bhas we aminn unavyojua wew ila Mungu yupo jana,leo na hata milele full stop!
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Kama Mungu huyo yupo mwambie aje hapa ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo.

Mwambie huyo Mungu aje hapa ani prove wrong kwamba yeye hayupo.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe.
 
Labella almin
 
Back
Top Bottom