Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Mkuu kwa point yako unataka kupinga kuwa hakuna Mungu? by the way bado nitaendelea kusimama na point yangu ikiwa utaamin yote yanawezekana kwa Mungu ata hao uliosema wanaweza ponywa pia
Kuamini kwako kuna Mungu wala hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.

Ni imani yako tu, Na msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Hukatazwi kuwa na imani yako ila Ukianza kudai imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Mkuu utatumia energy yako bure , ni bora tuunde genge la kuwabamiza mpaka akili ziwakae sawa.
 
Kuamini kwako kuna Mungu wala hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.

Ni imani yako tu, Na msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Hukatazwi kuwa na imani yako ila Ukianza kudai imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Hatuthibitishi kama Mungu yupo kwako aya fanya unalotaka kufanya
 
Ni nani ambaye anawaambia watu wote hapo wanafuata miujiza ?
Kama nyie mnavyojaa kwenye mambo ya mpira na muziki nadhani kuna manufaa mnayapata huko au burudani kwa mfano.
Na sisi wengine tunapenda kwa kuburudika pia ua kupata faida kwenye kusikiliza Neno la Mungu pia.
Sio kweli kuwa tunakusanyika kufuata miujiza tu.
Kuna kusikiliza waimbaji wa nyimbo za Injiri wakitumbuiza live.
Kuna kuwa kusikiliza mahubiri,
Kuna kusikiliza shuhuda mbali mbali,
Kuna kuongea chachu ya mahusiano na wenza wetu wanaopenda kusikiliza Neno la Mungu (hivyo tunawasindikiza huko ili kiwafurahisha)
Kuna kukutana na jamaa zetu wa mikoani wanaokuja kwenye mkesha N.k.
Nyie mkikusanyika kwenye mafiesta na matamasha ya akina Bambo na Harmonize sisi wala hatusemi kitu.
Ila sisi tukikusanyuka kwa Mwalimu Mwakasege ni kelele kila kukicha.
Tumezaliwa na kukua katika mazingira tofauti hivyo tunaishi tofauti pia.
 
Wengine wamefanywa wawe hivyo ili utukufu wa Mungu udhihirike,
Basi huyo Mungu ni mjinga sana na mkatili.

Anashindwa kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo mpaka aanze kutesa watu wawe viwete, vipofu na walemavu.

Huyo Mungu ni Mdhaifu sana.
wengine ni kwa sababu ya ukosefu wa Imani kwani ukimuacha Mungu nae anakuacha.
Kuna walemavu na wagonjwa wengi sana wenye imani kubwa sana na huyo Mungu na bado wamebaki na ulemavu wao.
Bila Imani hakuna uponyaji.
Imani ni ufunguo wa nafsi kwa kuiruhusu nguvu ya Mungu ilete matokeo ndani mwako.
Nakwambia hivi, Huyo Mungu hajawahi kuwepo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Kuna binamu wangu fulani
Niliwahi kumwambia hayo mambo ya mwaposa mbona kama ni ujinga ujinga ila alichonijibu nikaona bora ninyamaze maana
Alisema hivi

""Binamu hayajakukuta kuna mda yakikukuta unaona kabisa no matter what mungu ni mmoja tuu ujari kama ww ni islam au nani unajikuta unaenda tu kutokana na mambo kua different ""

Ila nikaja notice wadada wana shida tuu natural mi sijawahi elewa haya mambo
Hata nikipata demu akiwa na chembe chembe za mwamposa huwa namkacha mapema..

Mana kuna mmoja huyo an ilikua mda wote arise and shine hakuna channel nyingine.

Plas kumwaga mwaga maji ndani mara mafuta mara chumvi...

Kweli mkuu ujinga na umaskini ni adui mkubwa sana
Kiwango cha matatizo na kutokuwa na elimu ya utatuzi ndio chanzo cha watu kwenda kutafuta usaidizi nje kwa waganga, mitume na manabii wa uongo,kwa mwenye maarifa na ufahamu hakuna tatizo jipya chini ya jua
 
China mfano mzur sana, wanapiga kazi sana sana mtu kama anataka kusali anaingia zake mwenyewe kwenye temple anaomba, anatoka hakuna sjui mkusamyiko, sjui mafuta,
Mbona watu wanajaa viwanjani karibia kila weekend, wanajaa kwenye nyumba za starehe, kwenye concert venue mbona huwaga hamlalamiki
 
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.
Wewe unamiini hayupo endelea kuamini kwani umeshikiwa fimbo uamini
Live your life
Kwanini uteseke kwa maamuzi binafsi aliyofanya mtu mwingine unashida kubwa sana
 
Back
Top Bottom