Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Mkuu wa dunia naona kamuinua kiboko ya wachawi.
Usipoyajua maandiko bure utayajua kwa kuyalipia toka kwa wajanja
Ebwana Jamaa wanapiga Hela Ila yule Mchungaji anaewapasukia anaitwa Hananja sijui km sijakosea sijui km akina Mwoposa watakua wanampenda maana anapasua ukweli km ulivyo hakuna miujiza fanya kazi
 
Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Ujinga, maradhi na umasikini is real.

View attachment 3034776
SmartSelect_20240706_101807_Samsung Internet.jpg

Maeneo yenye giza namna hii kuna usalama kweli na huku mlisema Guest house zote Dar zimejaa
 
Watu wa hivi sitakufa mpaka na mimi nije niwanyooshe, ngoja kwanza nijiweke sawa kiakili ,majinga kuyamudu ni rahisi mno , posa boy piga pesa usisikilize kelele za chura jifanye chura kiziwi, piga pesa ikibidi watie na makofi waambie ni ya upako.
 
Makofi ya upako watayapokea tu kwani shillings ngapi na watayalipia hata akisema shillings ngapi
 
Ebwana Jamaa wanapiga Hela Ila yule Mchungaji anaewapasukia anaitwa Hananja sijui km sijakosea sijui km akina Mwoposa watakua wanampenda maana anapasua ukweli km ulivyo hakuna miujiza fanya kazi
Hao matapeli nguvu wanazotumia ni kubwa hao wengine wanapiga kelele tu.
Ni lazima wawepe ili maandiko yatimie wasingetokea Biblia ingekuwa ni kitabu cha uongo.
Mitume na manabii wa uongo pia uwaleta watu kwa Kristo.
 
Back
Top Bottom