K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Wapi ambapo kila anayeenda anafanikiwa kutatua shida zake?.Hapo ulipoandika; "wakufanikiwa atafanikiwa, ambaye muda wake bado aendelee kuwa na subra" ndipo mnapowaumizia ndugu, jamaa na marafiki zetu, wanaendelea kumiminika tu wakiamini siku yao ya miujiza iko njiani huku nyie mnakula tu sadaka.