Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Tatizo watu wanahudhuria na kubadilika hawataki.
Binti anakwenda kupata mafuta ili amteke mume wa mtu.
Mpaka makahaba wanakwenda kusafisha nyota ili biashara yao ya ukahaba
POINT! Umewahi kuona binti anaomba ruhusa kwa mchepuko aende kwa Mwamposa kukesha, that's very funny, yaani sijui huyo Mungu anatutazamaje huko aliko, ila najua wengi wetu tunamkebehi tu coz we don't change.
 
Siwez kumpinga mwamposa sababu sijui kuwa afanyayo ni kweli au mazingaumbwe: ila ila ninachojua Mungu yupo na anatenda miujiza kwa wale waaminio
Ukipita maeneo ya Mbezi Luis hapa kwenye stendi ya daladala kuna walemavu, vipofu na watu wengi wenye vichwa vikubwa.

Halafu hapohapo kuna wachungaji wameweka spika zao wanahubiri habari za uponyaji wa huyo Mungu miaka nenda rudi Nothing happens kwa hao walemavu.

Huyo Mungu angekuwa anaponya kweli na hao wachungaji wangekuwa wanaponya kweli, wale walemavu na vipofu wangeshapona.
 
Wengine wamefanywa wawe hivyo ili utukufu wa Mungu udhihirike, wengine ni kwa sababu ya ukosefu wa Imani kwani ukimuacha Mungu nae anakuacha.
Bila Imani hakuna uponyaji.
Imani ni ufunguo wa nafsi kwa kuiruhusu nguvu ya Mungu ilete matokeo ndani mwako.
 
Ukipita maeneo ya Mbezi Luis hapa kwenye stendi ya daladala kuna walemavu, vipofu na watu wengi wenye vichwa vikubwa.

Halafu hapohapo kuna wachungaji wameweka spika zao wanahubiri habari za uponyaji wa huyo Mungu miaka nenda rudi Nothing happens kwa hao walemavu.

Huyo Mungu angekuwa anaponya kweli na hao wachungaji wangekuwa wanaponya kweli, wale walemavu na vipofu wangeshapona.
Mkuu kwa point yako unataka kupinga kuwa hakuna Mungu? by the way bado nitaendelea kusimama na point yangu ikiwa utaamin yote yanawezekana kwa Mungu ata hao uliosema wanaweza ponywa pia
 
Kuna binamu wangu fulani
Niliwahi kumwambia hayo mambo ya mwaposa mbona kama ni ujinga ujinga ila alichonijibu nikaona bora ninyamaze maana
Alisema hivi

""Binamu hayajakukuta kuna mda yakikukuta unaona kabisa no matter what mungu ni mmoja tuu ujari kama ww ni islam au nani unajikuta unaenda tu kutokana na mambo kua different ""

Ila nikaja notice wadada wana shida tuu natural mi sijawahi elewa haya mambo
Hata nikipata demu akiwa na chembe chembe za mwamposa huwa namkacha mapema..

Mana kuna mmoja huyo an ilikua mda wote arise and shine hakuna channel nyingine.

Plas kumwaga mwaga maji ndani mara mafuta mara chumvi...

Kweli mkuu ujinga na umaskini ni adui mkubwa sana
 
Hapana. Hili la Mwamposa ni kielelezo cha jamii yenye matatizo na haijui yanasababishwa na nani/nini au wafanye nini kuyatatua. Maskini hawa wanadhani huyu tapeli ana uwezo wa kuyatatua. Mungu hatatui matatizo kwa njia hii. Mbona Ulaya watu hawaendi nyumba za ibada lakini wana maisha mazuri?
Sio kwamba hawaendi nyumba za Ibada Ibada zimehamia online sio lazima kuenda church hali unapata huduma zote online
 
Back
Top Bottom