SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Kati ya Mtume Mwamposa na Mtume Muhammad nani mkali katika kuponya wagonjwa na kufanya miujiza ?Wajinga ndiyo waliwao.
Nakubaliana kabisa na wewe. Watu wamekata tamaa, hawana ajira, hawana vipato, hawana tumaini la kesho itakuwaje.Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
View attachment 3034776
Wajinga ndiyo waliwao.Kati ya Mtume Mwamposa na Mtume Muhammad nani mkali katika kuponya wagonjwa na kufanya miujiza ?
Mbona sasa hawaponyeki?Hata huko wanafata uponyaji
Nionyeshe sehemu ambayo mimi nimeumia watu wakimkosoa MunguNa wewe ukitaka tusimkosoe huyo Mungu wako usimuongelee hapa kwenye open forum.
Kama hutaki kusikia huyo Mungu wako namkosoa usilete habari zake hapa JF.
Baki na hizo habari za huyo Mungu moyoni mwako au hukohuko kwenye nyumba zenu za ibada.
Hata wewe naku shangaa unavyo umia tukisema huyo Mungu wako hayupo.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu.Pole, ila hayo hayadhihirishi kuwa Mungu muweza wa yote hayupo.
Kwa nini unaanza na Galaxy ilitokeaje?Naomba unisaidie, hivi hii galaxy ilitokeaje?
Mazafanta wewe, these people are desperately poor looking for miracles. As for Zuchu and Mondi, that is a different occasion. People gather for Mondi and Zuchu to entertain their souls, to celebrate their hustles, to enjoy good moments and have fun. No one goes to Mondi in desperate.ingekuwa ni nyomi ya ZUCHU na Mondi hapo ungetoa sifa kedekede we jingalao!
These people did not commit any crime you Son of a beach!
Let God be God we are healing our problems through him
Hapo waislam ni wa kutosha.Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
View attachment 3034776
Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii duniaHuo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
View attachment 3034776
Kuhangaika kuni quote niliposema Mungu hayupo ni uthibitisho tosha kwamba unaumia kusikia Mungu huyo akisemwa hayupo.Nionyeshe sehemu ambayo mimi nimeumia watu wakimkosoa Mungu
Niko pale nasubiri
Lazima ujibiwe hii ni forumKuhangaika kuni quote niliposema Mungu hayupo ni uthibitisho tosha kwamba unaumia kusikia Mungu huyo akisemwa hayupo.
Kama unajua Mungu huyo yupo, kwa nini uhangaike kumtetea yupo?
Si aje hapa ajidhihirishe mwenyewe na ajisemee mwenyewe kwamba yupo?
Uko sahihi ila usimalize maneno, ya duniani ni mengi sana na yanasikitisha.Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
View attachment 3034776
Angeshakimbiwa kwa kukosa watuMbona sasa hawaponyeki?
Nahis uhusiano upo na ni significant kabisa lakini ilimrad hawalazimishwi acha kila mtu atumie uhuru wakeNawaza ata sielewi huenda kuna uhusiano wa dini na umasikini wa fikra/mawazo/maendeleo etc
Go go Mwamposa u have speacial gathering time and that is not a wastage of time compared to swala tano.Mazafanta wewe, these people are desperately poor looking for miracles. As for Zuchu and Mondi, that is a different occasion. People gather for Mondi and Zuchu to entertain their souls, to celebrate their hustles, to enjoy good moments and have fun. No one goes to Mondi in desperate.
Hata wewe lazima ujibiwe unapoleta habari za uongo za uwepo wa huyo Mungu wako.Lazima ujibiwe hii ni forum
Kwamba sitakiwi kumtetea Mungu ila wewe unarusiwa kumponda hii kali aisee