Huu umilikishwaji wa vitega uchumi muhimu vya nchi kwa waarabu, ni uwekezaji au uvunaji?

Celtel, Zain, Airtel,crdb,nmb, TRL (TRC),ticts,atcl(ATC)...ukisoma hayo majina unapata chochote,au chuki kwa waarabu zimekujaa Hadi puani!?.
Unaona mkuu Bams, wajinga niliowasema ndo Hawa

Yeye anaona ufaharibkuibwa na kunyonywa na mwabu badala ya mzungu

Wako wengi misikitini Wana fundishana ujinga

Tunasema hatufungamani na mwekezajin myonyaji awe mzungu awe mwarabu
Wote ni adui kwetu
 
Unaona mkuu Bams, wajinga niliowasema ndo Hawa

Yeye anaona ufaharibkuibwa na kunyonywa na mwabu badala ya mzungu

Wako wengi misikitini Wana fundishana ujinga

Tunasema hatufungamani na mwekezajin myonyaji awe mzungu awe mwarabu
Wote ni adui kwetu
Hapa mjinga ni wewe,ndiye uliyeonekana kuwa huwezi soma na kuelewa ulichosoma,mada inasema haikupaswa mwarabu apewe bandari Bali ajenge Kama ambavyo mchina angejenga bagamoyo,ndiyo nikaleta mifano ya hayo mashirika ya umma ambayo wazungu waliwekeza na bado wapo na Wala hampigi kelele,alikuwepo dowans, mwarabu,mkapiga kelele,akaja symbion kuwekeza palepale Kwa dowans,mkatulia,sijui mnafundishana nini huko kanisani!!
 
Porojo tu hizo
 
Siku zote huwa nakwambia akili yako ni matope tupu, kama unavyo dhihirisha mwenyewe hapa!
Wewe ni mwarabu? Kwenu ni arabuni?
Sasa hapa nani kadhihirisha akili zake tope!?..wapi nimesema mi mwarabu!!?..acha kunijibujibu,upeo wako mdogo
 
Zamani tulivuokuwa wadogo Kuna ka pambio tulikokuwa tunakaimba shuleni kalitujengea uzalendo wa maliasili zetu ila siku hizi sijui kama pado kapo

🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵
Tanzania Tanzania
Nchi yenye mali nyingi
Watu wengi wa ulaya
Wanaililia Sana

🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼🎼

Nimeona ndege wengi
Chiriku Katia fora
Kani pendeza mlio
Kama mtoto wa Nyumbani

🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵
 
Ila CCM!!
Ila huyu rais huyu!
mmmmmhhhhh!
Binafs kinachonishangaza mno ni kiwango cha uzuzu tulichonacho waibiwaji.
Utadhan hatupakan na Kenya!
Au mama wa kule wana matumbo ya uzazi tofaut
 
Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu,
Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu,
Utajiri wa waganda ni rasilimali na ndio maana nimeweka sheria kali kwenye copper, dhahabu hakuna kuja kujichotea na kutokomea lazima iwe win win business ili kizazi cha kesho kipate mali ya kurithi kuliko kugawia mali ya wajukuu wangu Kwa watu baki,
Viongozi wengi waliacha vita katika nchi zao, Kwa kuchezea maliasili bila kutumia akili,
Kuna nchi wao huita wakoloni eti wawekezaji na wanagawa kila kitu chao ambacho ni maliasili yao Kwa mikataba mibovu kwelikweli hadi inauma,
Vijana wakacheka, akawaeleza msicheke unajua hawa wezi wa mali zetu, walipotoka kule kugawiwa mali, walinifuata na mimi wakasema mbona wenzako wamekubali Kwa mikataba ya aina hii, kwanza niliumia sana hao wenzangu kukubali mambo ya kijinga vile ambayo hata kichaa hawezi kukubali.
Sasa unawaza hawa wanagawaje hovyo maliasili zao burebure hivi wakati wao wapo duniani, ? Ina maana haikuwepo sababu ya wao kua hai Wala kuishi,
Sio muda mrefu tutakwenda kua na bajeti kushinda nchi zote ukanda huu, na bajeti yetu inafanya vizuri maana pesa inakwenda ilipopangiwa ndio maana maendeleo hapa Uganda yanakimbia sana kuliko kawaida,
Kwenye mafuta, vijana msihofu maana walileta ujanja, nikasitisha kwanza na kuoeleka watu shuleni nje huko walipomaliza kupata utaalamu duniani kote wa mafuta ndio wakaja tukaweka mikataba na mambo yako vizuri.
Vijana wa NRM ninyi ni taifa la leo na kesho sisi ni taifa la jana, hivo mkae mkijua mna jukumu la kuilinda amani ya nchi na kulinda rasilimali za nchi kama desturi ya chama chetu.
 
Katika hali ya kawaida hali hizi zinaleta maswali mengi kuliko majibu,inawezekana ushauri ili kufikia maamuzi kama haya unafanyika katika hali ya kuvutia maslahi upande wa washauri na sii ule wa maamuzi unaolenga siku zote kuwa upande wa wengi.Sasa je nini kifanyike,ama kutambua kwanza usahihi au walakini wa washauri kuelekea maamuzi tarajiwa ama uangaliwe upya mfumo wa washauri hata ikibidi kabla ya maamuzi dhidi ya ushauri ufanyiwe mapitio hata kama ikiwa watakodiwa washauri huru.
 
Sasa hapa nani kadhihirisha akili zake tope!?..wapi nimesema mi mwarabu!!?..acha kunijibujibu,upeo wako mdogo
Naona umedidimia zaidi siku hizi. Ulikuwa nafuu kidogo nilipo dharau elimu yako. Sasa sijui mwisho utakuwa na hali gani wewe kama mwelekeo ndio huu wa kujishusha hadhi namna hii.
 
Awamu ya tano Rais wa sita(Makuwadi wa soko huria)!
 
Ni sehemu Gani au % ya uchumi au rasilimali za nchi husika
 
Huu ndio uwekezaji uko balancing sio , utakodisha kitu hakipo kwenye soko.la hisa.
Ili kuonyesha uwazi na uhalisia.

Does China own Heathrow Airport?


Heathrow Airport boasts a diverse group of stakeholders with the Spanish firm Ferrovial currently holding the largest share at 25 per cent. The ownership structure also includes Qatar Investment Authority holding a 20 per cent stake and China Investment Corporation with 10 per cent.
 

HUO SIYO UWEKEZAJI .....HUU TUNAO FANYIWA NA CCM KWA SASA UNAITWA (STATE CAPTURE) NI UKOLONIZESHAJI WA NCHI NA UCHUMI.....haya ni matokeo ya kuwa na JESHI LA WAPUMBAVU NA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA WA TAIFA KWA UJUMLA ....KWA SASA TANZANIA NA SERIKALI NA SIASA VIPO MIKONONI MA MFUMO KABAMBE WA RAIA FEKI WANAO TUMIKA DHIDI YA TAIFA ...JUZI RAIS MSEVENI KASEMA NAMNA HUO MFUMO ULIVYO MFUATA NA KARATASI ZA KUCHAMBIA NA KUMWAMBIA NAYE AKUBALI KUSAHINI KAMA TANZANIA NA SAMIA ALIVYO KUBALI.
mwekezaji wa kweli ilitakiwa aje na mtaji wake na kujenga vituvyake na kuingia kwenye uwekezaji wa kishindani siyo kuingia mikataba na serikali inayo UA au kudhibidi ushindani kwa huyo mwekezaji .
Kosa lina anzia kwenye mfumo wa uraia ...tulitakiwa kuwa na daraja hata zaidi ya 3 za raia ila huu mfumo tulio nao sasa wa mtu kipewa uraia leo na hapo hspo anaweza kuwa rais au waziri au kuwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ni kosa kubwa sana. Kwa hapa tz mkuu wa kuifanyia nchi yetu kuwa state capture ni huyu BWANA ROSTAM AZIZI HUYU NI MMOJA WAPO WA RAIA FEKI HATARI SANA KWA HII NCHI ...HUYU BWANA ASIPO ULIWA HARAKA IWEZEKANAVYO TAIFA LINAKWENDA SHIMONI ....YASHIKENI HAYA MANENO YANGU....NI AMINI NA KWELI.
 
Tusirudie Tena makosa ya kurithisha majitu ya hovyo.Tunaharibu Nchi yetu iliyoanza kuendelea Hadi kufika uchumi wa kati na baadae Tena kuporomoka na kuwa Nchi masikini iliyojichoke kupita kisa chini ya aliyerith ambaye hata yeye hakutegemea kuwa kwenye hiyo nafasi Yaani severe poorest country than any other in the world.2025 Tusifanye makosa ya watu wawili yaani rais pamoja na makamu wake.wanatakiwa wawe wachapakazi kama alivyokuwa mzalendo wa wakati ule tofauti na hapo Nchi itauzwa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…