Huu umilikishwaji wa vitega uchumi muhimu vya nchi kwa waarabu, ni uwekezaji au uvunaji?

Lawama zote ziende kwa Rais, CCM na Idara ya usalama wa Taifa
 
Niliwahi kuuliza swali hili:-

Wakati wanajeshi wetu wanalinda mipaka, wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu!je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhishae!!?

Hakuna alienijibu!!

Dola iliamua siasa ndio owe kazi yenye malipo makubwa kuliko professionalism matokeo yeke wanaokimbilia siasa wanataka watajirike ghafla ndio maana wamejazana kupiga deals kukimbizana na Muda!!

Kibaya zaidi dola inafanya compromise na wezi plus wabadhirifu lazima taifa lipate hasara TU!
 
Dangote atakua kichaa kujenga the biggest oil refinery in Afrika.
 
Hawa Ferrovial ni habari nyingine wana zaidi ya 50% katika Airport nyingi za UK

Sisi hatuwezi kuendesha kitu mkuu kwa ufanisi hilo ndio tatizo
Na kugawa mali bila faida pia ni mtihani
Yaani hata kuchunga mali zetu hatuwezi let alone kuzisimamia
 
Naona umedidimia zaidi siku hizi. Ulikuwa nafuu kidogo nilipo dharau elimu yako. Sasa sijui mwisho utakuwa na hali gani wewe kama mwelekeo ndio huu wa kujishusha hadhi namna hii.
Wewe elimu huna,unajipapatua tu kujadili vitu serious,kielimu hunikaribii hata mita mia
 
Lakini tungeweza kukodisha uongozi, Kuendesha hiyo Bandari badala ya kukodisha. Tatizo ni wanasiasa wanataka kuweka mikono hata wasipotakiwa kuweka mikono, mfano uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu, wajumbe wa Bodi wasio na uwezo , ambao huleteleza ajira zisizo na tija, manunuzi, na matumizi mengine yasiyo na tija. Yaani hamna Nia ya kweli ya kuleta matunda ya Nchi zaidi ya matunda binafsi
 
Miaka karibia sitini ya azimio la Arusha, hivyo "vitega uchumi" vimendeshwa na nani na vimeleta faida gani kwa nchi?
 
Katika hali ya ababu kabisa kuna watakaokuja kukupinga au kukashifu kwa andika lako hili.Umeandika Ukweli na chini CCM huo ni Uhaini.Nakuombea usinyamaze maana Sauti yako ni kali kuliko mkuki/mishale au risasi ama bomu.CCM wanawatesa Watanganyika up&down,left,right &centre ili wajilinde dhidi ya maovu waliyotutendea.Hofu yao moja ni kuogopa kushtakiwa mahakamani au ICC tumepata Katiba Mpya na Bora ya Wananchi.
Tutaelewana hivi punde tu.
 
Katika hali ya ababu kabisa kuna watakaokuja kukupinga au kukashifu kwa andika lako hili.Umeandika Ukweli na chini CCM huo ni Uhaini.Nakuombea usinyamaze maana Sauti yako ni kali kuliko mkuki/mishale au risasi ama bomu.CCM wanawatesa Watanganyika up&down,left,right &centre ili wajilinde dhidi ya maovu waliyotutendea.Hofu yao moja ni kuogopa kushtakiwa mahakamani au ICC tumepata Katiba Mpya na Bora ya Wananchi.
Tutaelewana hivi punde tu.
 
Wewe elimu huna,unajipapatua tu kujadili vitu serious,kielimu hunikaribii hata mita mia
EEEeeeeh!

Ondoa hiyo "serious"; hapo nitakubaliana nawe. Elimu inakuja katika mambo mbalimbali, hata ya kipuuzi. Huko siwezi kamwe kushindana na wewe kwenye elimu hiyo.

Hebu eleza, una elimu katika mambo gani hasa, 'seriously'!
 
Nikueleze ili iweje!!?..halafu unanipeendaa, endelea na qt mkuu,baada ya miaka kumi huenda tukawa on the same page
 
Viongozi wetu wanapiga dili tu aisee.

Hakuna uwekezaji wowote uliowahi kutunufaisha sisi hakuna.

Ushangai mwenyewe chura baada ya kubinafsisha almost kila kitu, bado anarudi kuwakamua wananchi wake maskini kwa tozo.

Ndio ujue kuwa uwekezaji hauna tija yeyote
 
Yaani kila mahali wanaiba haswa
Hata wapewe mishahara mikubwa kiasi gani bado wanaona hazitoshi
Wizi umeota mizizi na hakuna wa kuwaambia basi
 
Hii nchi yote inahitaji muwekezaji, sisi tumesha shindwa. Tukae pembeni waje wengine waendeshe nchi.
Viongozi wa ccm ndio walioshindwa kutuhusisha wote ni kutufanya wajinga na mbinu fulani hivi ya kutowajibika.
 
Dah UkWeLi MtUpu!
 
Hivi Dangote ni dini gani? Kuna mtu amewahi kumsema vibaya kutokana na uwekezaji wake kwa vile ni muislam? Mkiishiwa hoja na akili, mnakimbilia kwenye dini.
Labda kwa uelewa wao wenye dini wa kweli ni waarabu huoni kobazi wengi wanawashabikia waarabu koko wa sudan wakiwatwanga weusi wenzetu wa sudan kusini.Utumwa umeathiri wengi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…