Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi ila....?Nyongo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine. Hizi habari kwamba ni sumu zilitoka wapi?
Sasa unakataa vipi ili hali hata ww hujathibitisha. Au ww umethibitisha vipi kuwa si sumu.Hapana
Maneno matupu hayaaminiki.nenda kaonje halafu urudi hapa kushuhudia hiloNyongo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine. Hizi habari kwamba ni sumu zilitoka wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unakataa vipi ili hali hata ww hujathibitisha. Au ww umethibitisha vipi kuwa si sumu.
Mimi sisemi ni sumu na wala sikatai kuwa ni sumu.Ile ni nyongo kama nyongo zingine na research zinasema hivyo, sihitaji kuionja. Wewe unauhakika gani kuwa ni sumu, umewahi onja ikakuua?
Kazi ya nyongo siyo kuozesha chakula, pengine hili ndilo linafanya watu waamini ni sumu. Kazi ya nyongo ni kusaidia ufyonzaji wa mafuta kutoka kwenye njia ya chakula kwenda kwenye damu.Mimi sisemi ni sumu na wala sikatai kuwa ni sumu.
Nijuacho nyongo zote zina kemikali mahususi kuozesha chakula alacho kiumbe.
Ngoja nikagoogle nitarudi.😀🏃Kazi ya nyongo siyo kuozesha chakula, pengine hili ndilo linafanya watu waamini ni sumu. Kazi ya nyongo ni kusaidia ufyonzaji wa mafuta kutoka kwenye njia ya chakula kwenda kwenye damu.
Kwann nyongo yako unadhani sio sumu???Ile ni nyongo kama nyongo zingine na research zinasema hivyo, sihitaji kuionja. Wewe unauhakika gani kuwa ni sumu, umewahi onja ikakuua?
Kaile Sasa ndo ulete mrejeshoHapana
Sawa kabisa wala hujakosea je ukiila binadamu inakufanyaje kwa concentration yake?Kazi ya nyongo siyo kuozesha chakula, pengine hili ndilo linafanya watu waamini ni sumu. Kazi ya nyongo ni kusaidia ufyonzaji wa mafuta kutoka kwenye njia ya chakula kwenda kwenye damu.
Na ww umethibitishaje kuwa sio sumu maana utafiti hupingwa kwa utafiti, sio kukurupuka tu.Nyongo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine. Hizi habari kwamba ni sumu zilitoka wapi?
Tusipoona mrejesho tutajua ni sumu maana atakua hayupo tena kuleta huo mrejeshoKaile Sasa ndo ulete mrejesho
We kweli poyoyo. Huna hata uwezo wa kupangilia hoja yako maskini!!!Ile ni nyongo kama nyongo zingine na research zinasema hivyo, sihitaji kuionja. Wewe unauhakika gani kuwa ni sumu, umewahi onja ikakuua?