Huu uongo kuwa nyongo ya mamba ni sumu ulianzishwa na nani?

Huu uongo kuwa nyongo ya mamba ni sumu ulianzishwa na nani?

Sasa si ndiyo umeambiwa ukaionje ili ulete mrejesho?kuhusu research kusema kuwa ni nyongo Kama nyongo zigine,vilevile research hizohizo zinasema ni sumu.
Zaidi ya maneno ya mitaani na ya waganga ni research gani inasema sumu ya mamba ni sumu
 
Usiondoke bado tunaeleweshana tu hapa.

Sumu ya nyoka ina kazi nyingi wewe upo sahihi na mdau yupo sahihi.

Sasa swali langu la wasio na sumu digestion hufanywaje usilipite.
Nimejaribu kujibu ntakua na jibu mdogo mdogo mkuu.

Huyu niliamua kumuacha kwakua alikua anapingana na mimi so hatuwez kufika muafaka. Ukisema hivyo kwamba sumu ina kazi nyingi ntakuelewa. Ila kujitetea ni secondary sio primary. Na ndomaana hata yeye mwenyewe Mr Snake hapendi kuitumia sehem pasipo na manufaa huwa anakimbia viumbe wakubwa ila wale alio na mpango nao huwa anawawinda kabisa

Kwasababu mwisho wake siku akikuuma wewe ukafa au ukakatwa mguu yeye hashibi ila anakua kapunguza risasi zake za kupata mlo

Niambie wewe mara ngapi umeona nyoka kasikia hatua zako unashitukia yule anapotelea kwenye majani. Ni kwakua hana dili na sisi
 
Sasa unakataa vipi ili hali hata ww hujathibitisha. Au ww umethibitisha vipi kuwa si sumu.
Na ww umethibitishaje kuwa sio sumu maana utafiti hupingwa kwa utafiti, sio kukurupuka tu.
Ijaribu..utuletee mrejesho
Someni hapa kuna watu Wanakula kuongeza hamasa ya tendo la ndoa kama vyombo ya kongo

Nyongo ya mamba siyo sumu.

Mwaka 2015 watu 72 walifariki Msumbiji na ikadaiwa walichanganyiwa nyongo kwenye pombe.

Lakini siyo kweli. Kwanza chanzo kikaonekana siyo nyongo ya mamba. Na hata hivyo huko huko msumbiji huikausha na kuisaga nyongo ya mamba na kuisafirisha china ambako hutumika kama kiongeza nguvu za tendo.

Yep yaani badala ya kunywa supu ya pweza unaweza kuchukua nyongo ya mamba, ukaikausha, ukaisaga na kutumia unga wake kujiongezea nguvu za tendo.
[emoji3][emoji3]lengo lako ni nini hasa?
 
Nimejaribu kujibu ntakua na jibu mdogo mdogo mkuu.

Huyu niliamua kumuacha kwakua alikua anapingana na mimi so hatuwez kufika muafaka. Ukisema hivyo kwamba sumu ina kazi nyingi ntakuelewa. Ila kujitetea ni secondary sio primary. Na ndomaana hata yeye mwenyewe Mr Snake hapendi kuitumia sehem pasipo na manufaa huwa anakimbia viumbe wakubwa ila wale alio na mpango nao huwa anawawinda kabisa

Kwasababu mwisho wake siku akikuuma wewe ukafa au ukakatwa mguu yeye hashibi ila anakua kapunguza risasi zake za kupata mlo

Niambie wewe mara ngapi umeona nyoka kasikia hatua zako unashitukia yule anapotelea kwenye majani. Ni kwakua hana dili na sisi
Uko sawa. Ndiyo maana pia uwezekano wa nyoka kufanya dry bite ni mkubwa pia. Inatarajiwa nyoka akimbie kiumbe ambachoa siyo chakula chake unless awe cornered.

Ila kuna nyoka ni exceptional. Mfano koboko na kobra ambao watafuata na kutumia sumu yao hata kwa kiumbe ambacho siyo msosi wake.
 
Na Cobra anavyorusha mate ni katika kujilinda.
 
Na Cobra anavyorusha mate ni katika kujilinda.
Inatakiwa iwe hivyo. Lakini kobra na koboko hata katika ugomvi waliouanza wenyewe wanatumia sumu zao pia.

Kuna nyoka maarufu kijijini kwetu bahati mbaya jina lake limenitoka. Hukaa kwenye tawi la mti na kuning'iniza kichwa hapo ni atagonga kila kinachopita na anayepita.
 
Mleta mada atakaye kudai ushahidi wa utafiti muelekeze hapa
Kwanini atuletee ushahidi wa tafiti za watu wengine tena zilizoandikwa uko mitandaoni wakati nchi hii ina Nile crocodile wengi tu na wakubwa kama ng"ombe afanye huo utafiti kisha aje na majibu yake ili kumaliza hili swala.Kwasababu mimi najua wanayoitumia kama sumu sio wataalamu wa kikemia au watu wakuweka taarifa mitandaoni ila huyu mtoa mada anaweza kufanya huo utafiti na kuja na majibu mazuri.
 
Hakuna uhakika wa kisayansi kua nyongo ya mamba ni sumu km inavyodaiwa. Kilichopo hadi sasa bado kiko kwenye ngazi ya uzushi.
Huo uhakika wa kisayansi unataka nani aufanye?.au tunasubiri mzungu afanye kisha atuwekee google ndo tutajua ndo uhakika wakisayansi..Sio mambo yote yanayofanyika afrika yako kisayansi ndo maana hata kupaa kwa ungo kupo lakini hakujathibitishwa kisayansi.Au nako kwasababu hakujathibitishwa kisayansi tuseme ni uzushi?.
 
Kwanini atuletee ushahidi wa tafiti za watu wengine tena zilizoandikwa uko mitandaoni wakati nchi hii ina Nile crocodile wengi tu na wakubwa kama ng"ombe afanye huo utafiti kisha aje na majibu yake ili kumaliza hili swala.Kwasababu mimi najua wanayoitumia kama sumu sio wataalamu wa kikemia au watu wakuweka taarifa mitandaoni ila huyu mtoa mada anaweza kufanya huo utafiti na kuja na majibu mazuri.
Huo utafiti umefanywa kwenye taasisi rasmi na kuchapishwa rasmi.
Tafuta hilo andiko lipo nje ya mitandaoni.

Ubishi mwingine kama utoto.
Ukisoma hilo chapisho la tafiti husika utaona njia gani na majaribio gani vilitumika kupata majibu ya kusema nyongo ya mamba siyo sumu.
 
Ile ni nyongo kama nyongo zingine na research zinasema hivyo, sihitaji kuionja. Wewe unauhakika gani kuwa ni sumu, umewahi onja ikakuua?
Hiyo research ilifanywa na nani?'.Una shilingi ngapi nikuunganishe na mzee mmoja wakizinza anayejua kutengeneza hiyo sumu.maana sasa inabidi iwe kufa kufaana.
 
Back
Top Bottom