Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kwann nyongo yako unadhani sio sumu???
Kwa mfano unajua kazi ya ngongo? Jinsi unafanya kazi na madhumuni yake na aina ya vyakula yunavyokula?
Sasa kutokana na aina ya vyakula anakula mamba nyongo yake ni very strong kiasi kwamba ni sumu kwa binadamu(We can't handle concentration yake). Sijui kama no sumu kwa wanyama wengine pia ila pia sio sumu kwake bwana mamba mwenyewe
Weka hapa vyakula anavyokula mamba, ambavyo unadhani ni vya kipekee tofauti na wanyama wengine... kiasi cha kuwa na nyongo spesho unayoiita very strong!