Huu uongo kuwa nyongo ya mamba ni sumu ulianzishwa na nani?

Huu uongo kuwa nyongo ya mamba ni sumu ulianzishwa na nani?

Huo utafiti umefanywa kwenye taasisi rasmi na kuchapishwa rasmi.
Tafuta hilo andiko lipo nje ya mitandaoni.

Ubishi mwingine kama utoto.
Ukisoma hilo chapisho la tafiti husika utaona njia gani na majaribio gani vilitumika kupata majibu ya kusema nyongo ya mamba siyo sumu.
Uko tayari tufanye utafiti wetu kama watanzania.maana Mamba tunazo yanini kusoma machapisho ya watu.
 
Hiyo research ilifanywa na nani?'.Una shilingi ngapi nikuunganishe na mzee mmoja wakizinza anayejua kutengeneza hiyo sumu.maana sasa inabidi iwe kufa kufaana.
Kama inatengenezwa kwa maana ya kuchanganywa na vitu au kuozesha sawa inaweza kuwa sumu, sababu hata maini ya ng'ombe unaweza kitengeneza sumu ukichanganya na vitu vingine hatari.

Nyongo ya mamba pekee ikikatwa na kulishwa binadamu siyo sumu. Hasa ikipikwa kuondoa vijidudu vingine kama vimelea vya magonjwa.
 
Uko tayari tufanye utafiti wetu kama watanzania.maana Mamba tunazo yanini kusoma machapisho ya watu.
Kaombe kibali maliasili cha kuuwa mamba kisha njoo PM tafuta na pesa za kuwapa watu wa kutega mamba au bunduki na mbuzi wa chambo kisha twende hapo Ruvu hatumalizi siku 5 tutapata mamba.
 
Nimejaribu kujibu ntakua na jibu mdogo mdogo mkuu.

Huyu niliamua kumuacha kwakua alikua anapingana na mimi so hatuwez kufika muafaka. Ukisema hivyo kwamba sumu ina kazi nyingi ntakuelewa. Ila kujitetea ni secondary sio primary. Na ndomaana hata yeye mwenyewe Mr Snake hapendi kuitumia sehem pasipo na manufaa huwa anakimbia viumbe wakubwa ila wale alio na mpango nao huwa anawawinda kabisa

Kwasababu mwisho wake siku akikuuma wewe ukafa au ukakatwa mguu yeye hashibi ila anakua kapunguza risasi zake za kupata mlo

Niambie wewe mara ngapi umeona nyoka kasikia hatua zako unashitukia yule anapotelea kwenye majani. Ni kwakua hana dili na sisi
Uko sahihi.ndo maana ata hizo sumu za nyoka hatari ziko namna watu wanazitumia kwenye tiba nakadhalika.
 
Navyojua Mimi nyongo kazi yake Ni kusaidia umeng'enywaji wa mafuta!!

Mi nahisi ili iwe sumu kwako labda unywe kisado kizima!!

Mamba Ni reptilia ambao hawana sumu tofauti na reptilia wengine wenye sumu Kama baadhi ya nyoka!!

Tukizingumzia sumu tunazigawa Mara mbili venom na poison

Kwa mfano ukinywa sumu ya nyoka hauwezi kufa lakini ukidungwa unakufa!!

Sasa mnapoongelea sumu sijui mnazungumzia sumu ya aina gani
 
Huo utafiti umefanywa kwenye taasisi rasmi na kuchapishwa rasmi.
Tafuta hilo andiko lipo nje ya mitandaoni.

Ubishi mwingine kama utoto.
Ukisoma hilo chapisho la tafiti husika utaona njia gani na majaribio gani vilitumika kupata majibu ya kusema nyongo ya mamba siyo sumu.
Nimekubali kuwa Mamba hana sumu kwa utafiti wa huko zimbabwe
 
Nimekubali kuwa Mamba hana sumu kwa utafiti wa huko zimbabwe
Tupo pamoja mkuu.
 
Nyie
Munaosema ni sumu mbona munasema akaonje kwani nyinyi munaposema sumu mulionja kama mulionja mbona hamujafa
 
Mleta mada Ni smart Sana swali alilouliza Ni zuri!

Kuna watu wanasemaga eti nyongo ya ya mamba Ni sumu binafsi na machalii yangu tumesha pasua mamba mdogo alikua na kilo Kama Mia mbili tukapasua gall bladder yake tukatoa iyo nyongo tukachanganya na pumba ili tuue kanga kwa kitoweo ila kanga walijipigia pumba wakiendelea na mbishe zao
 
Kule kijiji kwetu ukala-ukelewe tunatumia nyongo ya mamba kupata kwenye mshale,ukipatwa nao unakufa hapo hapo.
 
Zaidi ya maneno ya mitaani na ya waganga ni research gani inasema sumu ya mamba ni sumu
Zaidi ya maneno ya mitaani na ya waganga ni research gani inasema sumu ya mamba ni sumu.
Unamaanisha nini hapo kwenye rangi ya purple?
 
Nyongo ya mamba ni nyongo kama nyongo zingine. Hizi habari kwamba ni sumu zilitoka wapi?

Nyogo ya mwanadamu ikipasuka ndani uchukui round.
Mamba hatafuni bali hana kata na kumeza na kujisaidia kinyesi cha kawaida.
Matumizi ya nyogo uchakata chakula ili kiweze kutoka kimesagika .
Hiyo nyongo yake unaona ikoje hapo
 
Zaidi ya maneno ya mitaani na ya waganga ni research gani inasema sumu ya mamba ni sumu.
Unamaanisha nini hapo kwenye rangi ya purple?
Nilichanganya ilitakiwa iwenyongo ya mamba ni sumu.
 
Nyogo ya mwanadamu ikipasuka ndani uchukui round.
Mamba hatafuni bali hana kata na kumeza na kujisaidia kinyesi cha kawaida.
Matumizi ya nyogo uchakata chakula ili kiweze kutoka kimesagika .
Hiyo nyongo yake unaona ikoje hapo
Hiyo siyo kazi ya nyongo.
 
Kazi yake hipi labda ujamiliza kueleza
Kazi ya nyongo ni kusaidia ufyonzaji wa mafuta mwilini. Hata watu ambao wana mafuta mengi mwilini na wanaokuwa wanahatari ya kupata magonjwa ya moyo kutokana na mishipa ya damu kuwa na mafuta hupewa dawa ambazo hutarget nyongo. Hili hupunguza ufyonzaji wa mafuta.
Kinachochakata mifupa ni enzymes na acid ya tumboni.
 
Back
Top Bottom