Kwann nyongo yako unadhani sio sumu???
Kwa mfano unajua kazi ya ngongo? Jinsi unafanya kazi na madhumuni yake na aina ya vyakula yunavyokula?
Sasa kutokana na aina ya vyakula anakula mamba nyongo yake ni very strong kiasi kwamba ni sumu kwa binadamu(We can't handle concentration yake). Sijui kama no sumu kwa wanyama wengine pia ila pia sio sumu kwake bwana mamba mwenyewe
Kazi ya nyongo ni kusaidia ufyonzaji wa mafuta mwilini. Hata watu ambao wana mafuta mengi mwilini na wanaokuwa wanahatari ya kupata magonjwa ya moyo kutokana na mishipa ya damu kuwa na mafuta hupewa dawa ambazo hutarget nyongo. Hili hupunguza ufyonzaji wa mafuta.
Kinachochakata mifupa ni enzymes na acid ya tumboni.
Usiwe mbishi,Nyongo ya mamba ni sumu kali sana,kuna maza mmoja wakigoma alimtwanga na hiyo sumu mme wake,alimuwekea kwenye chakula,aiseee,sasa hivi Mama ni mjane na wakulingwa wanajipigia tu..
Hivi ulishawahi ona mzoga wa kunguru ukiliwa na paka au panya?? Hata sisimizi tu hua hawagusi