Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Kwa ulivyoandika Tu hata Forex hujui masikini inaonekana umesimuliwa Tu.
 
Mlivyokuwa wapumbavu badala hilo suala muanze kufuatilia wahusika wakamatwe ila mnaacha mpigwe muanze kusumbua.

Better vyombo vya usalama kuanza kufuatilia hii channel kwa ma-upliners mpaka kukamata mwanzilishi mapema au kuwa na tracking ,wakikimbia kuwakamata na kuwafanya mfano.


Mbaaya zaidi wanachuo haswa first Year tayar washaingia kweny mtego.
 
Utakuja kuleta ushuhuda hapa jambo litakalokukuta
 
Hapa unauliza wrong people hakuna utakachopata zaidi ya kukatishwa tamaa.fanya utafiti wako nenda YouTube kaangalie review take risk hata kilimo au biashara ni risk taking
 
Unaijua hiyo mtfe?!
 
Kuna jamaa alikutana na Mimi am 4 real
Ki mwonekano Nina rangi na mwili wa mtu mwenye pesa hili hudhihilishwa na ukiniona tu first time....with your eye contact 👁️Pia kimavazi na hata mwonekano...

Nilikutana na jamaa kwenye occasion Moja weekend hii akaniomba namba maana tulikua busy jamaa aka promise kunitafuta #ASAP

Ngoja ni paste Meseji zake hapa Kwa faida ya wengi....

Huwa siamini hizi cheap politics za Kuna Mr.kuku, kalinda..
 
Mkuu sio blocker ni broker, spelling errors kama hizi utakimbiza wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…