Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Kwa ulivyoandika Tu hata Forex hujui masikini inaonekana umesimuliwa Tu.Hii kitu sio utapeli na mm nimekata shauri kujoin. Naanza na laki2 then nitaenda milion 8 na baadae nitaenda hadi milion 30 ndo target yangu.
Here are my plan
Laki2 naweka zangu za kujichanga nitafanya 2 months then naenda kuuza deni la bank nitaliuza 20 mil halaf difference ya 8 mil naiweka yote. Nitaclear den ndani ya mwaka mmoja coz nakatwa kwenye salary na nitakuwa narejesha nje ys mfumo polepole, nitakopa tena 25mil zote naziweka na ndani ya mwaka nitarudisha den then nabski kula faida
Huu sio upatu bali ni biashara ya kuuza dolar na kununua tena hela wanayotoa ni ndogo sana si ajab jamaa wanakula hela ndefu kuliko wanayokupatia sababu ukitrade mwenyewe vizuri unapata zaid ya hiyo. Mm nna jamaa yangu huwa anazungusha elf f50 tu ila kila siku anaingiza either elf 50 ama sio chini ya 20. Ila wao wanatumia AI kutrade hivo ni vigumu sana kupata hasara