Mtfe ni scam kama nyingine tu na mwisho wake ndo huu nadhani vilio umevisikia.nina miaka takribani minne sasa na mtfe...ni legit business ambayo ina hasara na faida....ila nashukuru nimekula faida hata dola zilizopo zikipotea sina hasara
Mtfe ilianza mwaka janawe acha ufala wewe mtfe wewe ndio umeijua mwaka jana, mimi nacheza hii kitu toka niko uingereza
Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
MFTE ndo kitu gani!!??? Tunazungumzia MTFE hapa.Ina miaka 18 sema Africa ndio hivyo ila ni ya kitambo sana View attachment 2713895
Wew na dada Ako mko vzr tumieni akili zenu vyemsKuna Dada yangu katoka kunipa mchongo Huo kama nusu saa imepita nakuja humu naona Uzi wake.Ananiambia huko Mtfe Kuna ulaji wa hatari.
Yani wewe hata kuandika neno BROKER umeshindwa na bado unataka mtu akuamini akukabidhi Milioni zake umfanyie Trading? Hauwezi kuwa serious asee
π€£π€£π€£π€π€π€ humu watu walitoa tahadhari mapema tu
Ni last week tu apoπ€£π€£π€£π€π€π€ humu watu walitoa tahadhari mapema tu