Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Uwekezaji wowote unaohitaji ili ipate faida kwa haraka mpaka ualike wengine kwenye huo uwekezaji basi huo ni UTAPELI tu!
 
yaani ukiweka mtaji wako mfano tsh milioni 1.3 unapata faida Kila siku 15000-25000 japo ameniambia kuna siku za loss hiyo faida inakuwa haipo.mtaji ukiwa mkubwa na faida kwa siku inakuwa kubwa
Kimbia hapo ...

Acha kabisa, yaani uweke millions kwa matarajio ya kupata 15?
 
Mkuu
Jaribu kilimo at least hakina upatu.

Haya madubwasha hayajawahi kutuacha salama
 
Trade za kwako
 
MTFE NI UTAPELI KAMA UTAPELI MWINGINE.
WANASEMA WAMESAJILIWA ONTARIO,CANADA ILA UKIINGIA KWENYE TOVUTI YA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MASUALA YA KIFEDHA HAWAITAMBUI.

ACHENI KUPENDA KITONGA MTALIA SANA.
wewe kajamba koko unamuita investor kitonga!? hivi watz mna shida gani!? we tulikiliwa na pesa ni zetu shida yako nini!? huna hela unaleta makasiriko yako
 
Naenda ukawe fursa
 
Mpaka sasa hakuna kinachotoka, mimi ni muhanga wa mtfe so naandika nnachokipitia.
Kwa uzoefu wangu ikishaanza kuwa hivi huwa ndo byebye
wewe huna uzoefu wowote tuulize wenye uzoefu, sio mara ya kwanza mtfe kufanya system upgrade
 
wewe huna uzoefu wowote tuulize wenye uzoefu, sio mara ya kwanza mtfe kufanya system upgrade
Najua unajua kuwa mtfe imepepea ila unajaribu kubishana ili usionekane mjinga "kuliwa" kizembe hivyo[emoji1787]
Leo Robot limegoma kuwaka ila huzungumzii hilo! Sisi wazoefu wa hizi mambo huwa kuna dalili tukiziona tunatoa mtaji na kuendelea na mambo mengine na hicho ndicho nilichofanya tangu siku niliyoanza kuona mauzauza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…