Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwekezaji wowote unaohitaji ili ipate faida kwa haraka mpaka ualike wengine kwenye huo uwekezaji basi huo ni UTAPELI tu!Ni kweli nimeshuhudia watu wangu wa karibu wakipata pesa kupitia MTFE lakini asilimia kubwa sio kwa kutrade lakini kwa commission za kualika watu.
Kama una uhakika wa kuweza kuinvite watu zaidi ya 1000 ni kweli utatengeneza pesa,lakini kwa kutrade tu utaambulia kilio.
Ongeza, na Bitcoin, onecoin nkkwa hiyo mkuu hi haina tofauti na global aim,qnet,lifaro,deci!!!!???
Hahaha! Umenikumbusha mbali sana niliwakutana na kijimwanamke eti kinataka kumpelekea hela mtu, mtu huyo eti akikuangalia kiganjani mwako anakwambia matatizo yako yote, siku hiyo nilimuuliza swali kama lako.Dah hv mpaka unakutana na hv vitu mnakua mnatafuta nini?
Wewe ndiye mkurugenzi wa hii kampuni.we acha ufala wewe mtfe wewe ndio umeijua mwaka jana, mimi nacheza hii kitu toka niko uingereza
Kimbia hapo ...yaani ukiweka mtaji wako mfano tsh milioni 1.3 unapata faida Kila siku 15000-25000 japo ameniambia kuna siku za loss hiyo faida inakuwa haipo.mtaji ukiwa mkubwa na faida kwa siku inakuwa kubwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka utafikir mazuriKusikia kwa kenge ni mpaka masikio yatoe damu
Maswali hayo ni yapi? TujuzeJamaa yangu aniletea habari za hii biashara kwamba nikiweka ela nitapata faida nilimuuliza maswali matatu hadi leo hakuwahi kunijibu sms yangu
Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
Mpaka sasa hakuna kinachotoka, mimi ni muhanga wa mtfe so naandika nnachokipitia.Samahani, utatupa mrejesho kama miamala inatoka au la!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Pesa hazitoki mkuu, wamezuia!View attachment 2719402 ANAPIGWA MTU MUDA SI MREFU......... TOENI PESA ZENU......... MSIJE KULIA HUMU KAMA YULE JAMAA ANAYEJIITA "MSHAURI WA SERIKALI" Maana alilizwa na UPUUZI KAMA HUU
Trade za kwakoMwenye million 2.7 aje anijarbu Mimi inbox pesa yake ataweka kwa blocker (atanpa trading account )Mimi nitam tradia tutagawan faida 50/50 . Kwa wiki hawez kosa faid ya 200,000/- na mtaji upo mfukon kwake njoo inbox njoo,
[emoji113]NARUDIA PESA YAKO HUNIPI MIMI
[emoji613]UNAWEKA KWA BLOCKER NA UNAUWEZO WA KUITOA WEW MWENYEW
[emoji613]MIMI KAZI YANGU NI ACCOUNT MANAGEMENT
MINIMUM USD500
nadhani ni mkuu ndugu yakoWewe ndiye mkurugenzi wa hii kampuni
wewe kajamba koko unamuita investor kitonga!? hivi watz mna shida gani!? we tulikiliwa na pesa ni zetu shida yako nini!? huna hela unaleta makasiriko yakoMTFE NI UTAPELI KAMA UTAPELI MWINGINE.
WANASEMA WAMESAJILIWA ONTARIO,CANADA ILA UKIINGIA KWENYE TOVUTI YA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MASUALA YA KIFEDHA HAWAITAMBUI.
ACHENI KUPENDA KITONGA MTALIA SANA.
Naenda ukawe fursaHabari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
wewe huna uzoefu wowote tuulize wenye uzoefu, sio mara ya kwanza mtfe kufanya system upgradeMpaka sasa hakuna kinachotoka, mimi ni muhanga wa mtfe so naandika nnachokipitia.
Kwa uzoefu wangu ikishaanza kuwa hivi huwa ndo byebye
[emoji38][emoji38][emoji38] wanakuambia baki hivyo hivyoKinachonishangaza ni kwamba wanaotrade MTFE ni kama wamerogwa ukiwaambia swala la kuwa IPO mtalizwa watakumind mpaka kesho kutwa [emoji23]
Najua unajua kuwa mtfe imepepea ila unajaribu kubishana ili usionekane mjinga "kuliwa" kizembe hivyo[emoji1787]wewe huna uzoefu wowote tuulize wenye uzoefu, sio mara ya kwanza mtfe kufanya system upgrade