Kumwandalia mshamba ya kulima bila kumwezesha elimu nzuri ya kujitambua ataishia kuyauza hayo mshamba ndani ya mwezi mmoja tu.kama unahela peleka English medium na kama unajimudu zaidi peleka international mwanao akafaidi elimu na siyo kuandaa mshamba ya urithiKiuhalisia hakuna CONNECTION yoyote atapata wewe kama huna hela usijisumbue kujitutumua misuli bure. Watu wakimaliza shule kila mtu anaelekea ustaarabu wake mwanao atabaki anasimulia tu nilisoma na fulaniπππ
Wekeza katika ujuzi, mtoto aende VETA akachukue ujuzi. Dunia ya leo ni ya ujuzi.Kwenda nje ya nchi ni swala la maamuzi tu hakutegemei na kwamba ulisoma Feza au st. Kayumba.
Waandalie watoto urithi kwa kuwanunulia viwanja na mashamba ya miti ya mbao na matunda.Wanunulie watoto HISA na BONDS katika makampuni mbalimbali huu ndo utajiri wa kurithishana kutoka kzazi kimoja kwenda kingine.Na sio kupoteza rasilimali kisa kuja kuomba ajita za serikali.
Mtaendelea kuona waindi na waarabu kama magenius ila hawa watu ni wa kawaida tu sema wanafikra tofauti kuhusu mali na utajiri.
πWahenga wana msemo "acha upepo uvume tuone Makalio ya kuku" π₯Ά
πππ€£π€£ ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa.
Acha mambo ya kupigisha watu stori kwa kutunisha misuri ya typing fingers kuwa wanaosomesha em na international schools eti wana poteza muda.
Hata sisi tunapigika na "njaa-nuary" hii ila hauwezi kuta tunageuza wali kuwa ugali humu.
Sawa, Ngoja tusubirie wajukuu wa bakhresa waje mikorochini praimari
why kucheka mzeeπ
Kwamba umekosa kabisa watu WA kuwasaidia na badala yake unataka ukawasaidie hao wazazi wajinga wajinga wanalazimisha kuishi maisha yaliyo nje ya uwezo wao?Niandikie majina ya hao wazazi nikawaandikishe baby class niwalipie ada niwasomeshe wao na watoto wao
Kwani ukimpeleka EM au International School ndo atajitambua? Mfano wanafunzi wa BAOBAB.Kumwandalia mshamba ya kulima bila kumwezesha elimu nzuri ya kujitambua ataishia kuyauza hayo mshamba ndani ya mwezi mmoja tu.kama unahela peleka English medium na kama unajimudu zaidi peleka international mwanao akafaidi elimu na siyo kuandaa mshamba ya urithi
Shule za serikali hazikukupa elimu Bora bila wewe kujua ndiyo maana unaona ni nzuri.lakini kama ungesoma international au English medium enzi zako ungekuwa zaidi ya hapo ulipo Sasa.Nikionaga mtu anaziita shule zetu za serikali ambazo wengi wetu sisi ndio zimetulea na kutupa msingi WA elimu na ufahamu tulionao leo hii, Huwa namdharau sana na kumuona mtu huyo Hana akili kabisa na ni LIMBUKENI MKUBWA.
Mkuu kuna misemo inashangaza unaweza ukadhani ndo umezaliwa leoNilijua nimesikia vyote π π π
The smartest comment in this thread.Kiuhalisia hakuna CONNECTION yoyote atapata wewe kama huna hela usijisumbue kujitutumua misuli bure. Watu wakimaliza shule kila mtu anaelekea ustaarabu wake mwanao atabaki anasimulia tu nilisoma na fulaniπππ
Wekeza katika ujuzi, mtoto aende VETA akachukue ujuzi. Dunia ya leo ni ya ujuzi.Kwenda nje ya nchi ni swala la maamuzi tu hakutegemei na kwamba ulisoma Feza au st. Kayumba.
Waandalie watoto urithi kwa kuwanunulia viwanja na mashamba ya miti ya mbao na matunda.Wanunulie watoto HISA na BONDS katika makampuni mbalimbali huu ndo utajiri wa kurithishana kutoka kzazi kimoja kwenda kingine.Na sio kupoteza rasilimali kisa kuja kuomba ajita za serikali.
Mtaendelea kuona waindi na waarabu kama magenius ila hawa watu ni wa kawaida tu sema wanafikra tofauti kuhusu mali na utajiri.
Kabisa.The smartest comment in this thread.
Umetisha sana mkuu, natamani tuichambue zaidi hii comment yako Kwa faida ya wengine hasa hapo kwenye para ya pili na ya tatu.
Acha ushamba na ulimbukeni yaani kulima mashamba nayo mpaka AKASOMEE ENGLISH MEDIUM (EM)ππππKumwandalia mshamba ya kulima bila kumwezesha elimu nzuri ya kujitambua ataishia kuyauza hayo mshamba ndani ya mwezi mmoja tu.kama unahela peleka English medium na kama unajimudu zaidi peleka international mwanao akafaidi elimu na siyo kuandaa mshamba ya urithi
Kuna shule ukisoma hutakosa ajira. Kwa sababu kama hautaajiriwa, utajiajiri kwa mafanikio makubwa!Wazazi wengi wakishapiga hesabu ya kwamba anamsomesha mtoto kwa gharama alafu mwishowe anakosa ajira na status yake inakuwa sawa na aliyesoma Kayumba ndo huchukua maamuzi ya kuwapeleka watoto wao Kayumba.
Inasikitisha sana unakuta mtu anajua vitu ila kujieleza kwa Kingereza ni mtupu kabisa.Tuulize saint kayumba tunavyoteseka, ukiingia interview room kiingereza kinabaki njee kikikusubiria hadi utoke, wakati huo ushakosa opportunity π
karibu mkuu,The smartest comment in this thread.
Umetisha sana mkuu, natamani tuichambue zaidi hii comment yako Kwa faida ya wengine hasa hapo kwenye para ya pili na ya tatu.
Kuku hana makalio ni kinyeowhy kucheka mzee