Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

What if mmoja alikua side chick. What if hata huyo queen si wa huyo baba alibambikiwa tu?? Halaf yaan mkuu ndo unatumia judgement hiyo kuconclude kwamba he was a bad man?

Yes, unafanya kazi ya Mungu kwakua alishasema kuhukumu ninkazi yake. Yes, baba amebeba msalaba wake. Amejua amekisea na amejirudi. Ubaya uko wapi
 
Qween Darleen wala hakutengwa na mzee abdul ila tu Dada wa watu anategemea ugali kwa kaka yake mwenye akil kama za mama yake
 

Kwa hiyo akiwa side chick kama akizalishwa anatakiwa kutelekezwa?

What if Diamond naye alimbambikiwa ,manake mama ndiye anayejua siri.

Si mjaji mtu bali ushahidi wa kimazingira na kihistoria unaonyesha wazi,Waswahili wanasema kosa moja si kosa bali kurudia kosa ni KOSA,huwezi ukafanya kosa moja mara mbili kwa watoto wawili uliozaa kwa wanawake wawili tofauti na ukawatelekeza kwa mda tofauti alafu useme SIO kosa.
 
1-Jamaa anamla Bi Mkubwa wake ,na moja ya magonvi yalokuwepo kati ya Bi mkubwa wake na Zari ni juu ya Diamond .

2-Mashariti alopewa .


Jamaa yupo tayari kugawa kondom bure, lkn hayupo tayri kumsaidia Mzee wake.
Aisee
 
Nasibu hana sababu ya kumtunza huyo mzee kama yeye alishindwa kumtunza alipokuwa mdogo.........vijana waliolelewa na mama pekee huku wakimshuhudia baba akiponda raha na vimwana watakuwa wanaelewa vyema changamoto hiyo........

NB
LABDA KAMA KUNA SABABU NYINGINE NJE YA HIZO.......
 
Huwa nawashangaa wanaosema wanalishwa simu na mama zao,
Mimi na mama hatukuwahi kujadili chochote kuhusu baba,

Ila nafsi yangu imemkataa mpaka kesho
 
Ile kumwita uncle ni kuhalalisha haramu..

Yaani Diamond fala sana,,nasikia hata vumbi la congo anamnunulia huyo uncle ili amsuguwe vizuri mama yake.
Umbea mwingine hauna hata ladha
 
Qween Darleen wala hakutengwa na mzee abdul ila tu Dada wa watu anategemea ugali kwa kaka yake mwenye akil kama za mama yake
Ndo hapo nashangaa josee anahukuumuu. Mimi bana mambo ya familia napenda sana amani. Kesho yangu siijui
 
Hao ndio wale wanaitwaga masingle mother ambao hawatakiwi kuolewa.
 
Nani amesema kutelekezwa ni sawa. Wewe ndo unaforce vinyongo. Na ukristu haifundishi hv. Baba ameona alikokosea. Ametamani kujiunga na familia yake tena. Kosa liko wapi. Mama ndo hataki baba kupewa maupendo. Kwangu ana ushetani
 
Mkuu hii ni simu gani unatumia data ziwaka zote?
 
Nani amesema kutelekezwa ni sawa. Wewe ndo unaforce vinyongo. Na ukristu haifundishi hv. Baba ameona alikokosea. Ametamani kujiunga na familia yake tena. Kosa liko wapi. Mama ndo hataki baba kupewa maupendo. Kwangu ana ushetani
Wewe huwezi ona Diamond na Darleen wametelekezwa manake wewe unaona sawa alichokifanya mzee na ndio maana ktk post yako ya kwanza lawama zote ulipa mama D na ndio maana nika kuuliza vipi nae mama Queen hukunijibu umerukaruka tu.

Familia ni baba ,mama na watoto sasa familia hamna sababu kaivunja yeye mwenyewe,yeye sasa hivi ana mke wake na kazaa nae,Mama Diamond naye ana mume,sasa watarudi vipi.

Yeye sasa hivi ashukuru kwani still watoto wake alio watelekeza wana msaidia ana mpaka bima ya afya na akiwa na shida wana msaidia kwani
,wenzake Baba yake Wana Fa na Dimpozi hawali hata thumni ya watoto wao.

Ashukuru kwa upendo huo wanao mwenyeshea,sasa labda wewe ulitaka wafanye nini? Sababu kurudi kama zamani kama familia haiwezekani kila mtu ana maisha yake.
 
Mimi namlaumu MANA DANGOTE.
Sio diamond.
Mama dangote angekufa hapo sawa ningemlaumu diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…