Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Huyo mzee kawalea tu kina mondi baada ya tukio fulani kutokea, so akasimama kama mlezi kwa makubaliano na mama mondi ila sio baba yao halisi.
 
Wakati huyo Bwana anagombana na mkewe (mama Diamond), Diamond alihusikaje?
Ajabu ni hyo mkuu,,

Iweje mama diomond. Kugombana na baba diamond wakati huo wa njaa,,,Leo hii kumuhusu diamond?
Wakati diamond ana mafanikio?

Mzee akiulizwa wala hakumbuki alichomfanya diamond..

Ni huyo mama kwa njaa ,,choyo,,shida alizopitia anamsababishia mwenzie Ku enjoy mali za diamond..

Tena na jina kabadilisha now anajiita

Le boss ,,mama dangote,,

Aisee!!!
 
Huyo mzee kawalea tu kina mondi baada ya tukio fulani kutokea, so akasimama kama mlezi kwa makubaliano na mama mondi ila sio baba yao halisi.
Aaaaaaah,Lete stori zaidi mukuluu.
 
Hulka za wa mama wa Tandale wa miaka io
 
[emoji112][emoji112][emoji112]
 
Na kwanini apangiwe sehemu ya kupata msaada ikiwa yeye anaona sehemu anayostahili kuupata msaada huo?

Hili pekee ni tatizo, linafikirisha kwa mengi
Anapangiwa kwasababu pesa sio za kwake.
 
I bet Diamond naye kwa vile aliacha, yatamkuta kama ya baba yake
Diamond ni mjanja,kashawekeza vya kutosha,watoto wake pia anawasomesha,tofauti na huyo Baba aliejisahau.
Wakati anapata pesa alikua analala na wanawake wengine,uwekezaji wake ulikua kwa machangudoa na Malaya.
Unamuombea Diamond kuja kua Kama Baba yake haitowezekana.
 
Kwani alivokua na Pesa alimjua Diamond?si aliona badala ya kusomesha mtoto wake aliangaika na Malaya,hakujua Diamond anakula Nini anavaa nini,Hata nauli ya daladala alionyimwa,unataka huyo Baba yeye asipate hata kashida?
 
Yule mzee namwonaga chizi tu, kama mwanao hakutaki ndio kila mara uongee na waandishi wa habari?
 
Kwani alivokua na Pesa alimjua Diamond?si aliona badala ya kusomesha mtoto wake aliangaika na Malaya,hakujua Diamond anakula Nini anavaa nini,Hata nauli ya daladala alionyimwa,unataka huyo Baba yeye asipate hata kashida?
Wakati wewe baba yako ukimpelekea fungu la dagaa na sembe kila week,,

huku unazidi kumdanganya mwenzio azidi kumtenga baba yake,,

endeleeni kumpoteza diamond.,,ila siku huyo mzee akianguka,,
Atatafuta kwa kutokea..
 
Yule mzee anafuatwa,,hana uwezo wowote wa kuita Media...

Wapi nimesema anaita media? Mimi nimesema yule mzee ni chizi, huwezi kumsema vibaya mwanao kila siku mbele ya watu halafu utegemee akusaidie.
 
Wapi nimesema anaita media? Mimi nimesema yule mzee ni chizi, huwezi kumsema vibaya mwanao kila siku mbele ya watu halafu utegemee akusaidie.
Sasa umesema wewe unamwona Chizi sababu kila mara anaongea na waandishi,,

Sasa hao waandishi anaongea nao wapi?

Kama hafuatwi na hao waandishi??
 
Inafikirisha sana.Mtu unamtunza vyema mama kabla hajazaa na baada,then ukikorofishana na huyo mama,unakomolewa na wote,yaani mama na mtoto.
Kigeu geu nanigeukia....sjui aliimba jaguar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…