mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mfate PM
Mkuu naomba nikuulize hiyo avatar yako uliyoweka utafanya sisi tuchanganyikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba nikuulize hiyo avatar yako uliyoweka utafanya sisi tuchanganyikiwe
Kama nimekuumiza basi pole ,, ila next time nitakupaka mafuta nisikuumizeUmbea mwingine hauna hata ladha
Ajabu ni hyo mkuu,,Wakati huyo Bwana anagombana na mkewe (mama Diamond), Diamond alihusikaje?
Aaaaaaah,Lete stori zaidi mukuluu.Huyo mzee kawalea tu kina mondi baada ya tukio fulani kutokea, so akasimama kama mlezi kwa makubaliano na mama mondi ila sio baba yao halisi.
Hulka za wa mama wa Tandale wa miaka ioAjabu ni hyo mkuu,,
Iweje mama diomond. Kugombana na baba diamond wakati huo wa njaa,,,Leo hii kumuhusu diamond?
Wakati diamond ana mafanikio?
Mzee akiulizwa wala hakumbuki alichomfanya diamond..
Ni huyo mama kwa njaa ,,choyo,,shida alizopitia anamsababishia mwenzie Ku enjoy mali za diamond..
Tena na jina kabadilisha now anajiita
Le boss ,,mama dangote,,
Aisee!!!
Duu!!aisee!!!Hulka za wa mama wa Tandale wa miaka io
[emoji112][emoji112][emoji112]Wewe huwezi ona Diamond na Darleen wametelekezwa manake wewe unaona sawa alichokifanya mzee na ndio maana ktk post yako ya kwanza lawama zote ulipa mama D na ndio maana nika kuuliza vipi nae mama Queen hukunijibu umerukaruka tu.
Familia ni baba ,mama na watoto sasa familia hamna sababu kaivunja yeye mwenyewe,yeye sasa hivi na mke wake na kazaa nae,Mama Diamond naye ana mume,sasa watarudi vipi.
Yeye sasa hivi ashukuru kwani still watoto wake alio watelekeza wana msaidia ana mpaka bima ya afya na akiwa na shida wana msaidia kwani
,wenzake Baba yake Wana Fa na Dimpozi hawali hata thumni ya watoto wao.
Ashukuru kwa upendo huo wanao mwenyeshea,sasa labda wewe ulitaka wafanye nini? Sababu kurudi kama zamani kama familia haiwezekani kila mtu ana maisha yake.
Anapangiwa kwasababu pesa sio za kwake.Na kwanini apangiwe sehemu ya kupata msaada ikiwa yeye anaona sehemu anayostahili kuupata msaada huo?
Hili pekee ni tatizo, linafikirisha kwa mengi
Diamond ni mjanja,kashawekeza vya kutosha,watoto wake pia anawasomesha,tofauti na huyo Baba aliejisahau.I bet Diamond naye kwa vile aliacha, yatamkuta kama ya baba yake
Mbea sana we dada.Kama nimekuumiza basi pole ,, ila next time nitakupaka mafuta nisikuumize
Kwani alivokua na Pesa alimjua Diamond?si aliona badala ya kusomesha mtoto wake aliangaika na Malaya,hakujua Diamond anakula Nini anavaa nini,Hata nauli ya daladala alionyimwa,unataka huyo Baba yeye asipate hata kashida?Mkuu naona umevama gheto la mabaharia na khanga hata chupi hukuvaa.
Hivi inakuingia akilini kisa mama yake diamond alitelekezwa na mzazi mwenzie,,?
matokeo yake ahamishie ugomvi wao kwa mtoto?
Tunachomlaumu diamond ni kutomjali baba yake,
Na asijiingize ktk ugomvi wa wazazi wake.
Ukiendelea na tabia ya kuvamia chumba cha mabaharia umevaa dera bila chupii.Mbea sana we dada.
Wakati wewe baba yako ukimpelekea fungu la dagaa na sembe kila week,,Kwani alivokua na Pesa alimjua Diamond?si aliona badala ya kusomesha mtoto wake aliangaika na Malaya,hakujua Diamond anakula Nini anavaa nini,Hata nauli ya daladala alionyimwa,unataka huyo Baba yeye asipate hata kashida?
Yule mzee anafuatwa,,hana uwezo wowote wa kuita Media...Yule mzee namwonaga chizi tu, kama mwanao hakutaki ndio kila mara uongee na waandishi wa habari?
Yule mzee anafuatwa,,hana uwezo wowote wa kuita Media...
Sasa umesema wewe unamwona Chizi sababu kila mara anaongea na waandishi,,Wapi nimesema anaita media? Mimi nimesema yule mzee ni chizi, huwezi kumsema vibaya mwanao kila siku mbele ya watu halafu utegemee akusaidie.
Kigeu geu nanigeukia....sjui aliimba jaguarInafikirisha sana.Mtu unamtunza vyema mama kabla hajazaa na baada,then ukikorofishana na huyo mama,unakomolewa na wote,yaani mama na mtoto.