Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ujinga unakujaje hapo?Maua yakiwekwa juu ya kaburi yanakukera nini?Huo usabato wako nao ni kero kwa wengine.Mimi ni Mkristo,haya mambo ya Kijinga yanafanywa na wakristo WAJINGA!
Kuweka Shada juu ya kaburi la Marehemu ni UJINGA wa kiwango Cha Juu mno!