Huu utamaduni wa kuweka mashada ya maua makaburini umetokea wapi?

Mkuu nauliza logic ya kuweka mashada ni ipi? Nani kaleta huo utamaduni? Kwanini unafanywa na wakuristu tu.
Mkuu hili neno unalikosea makusudi au haujui? Linaandikwa wakristo
 
Mkuu hili neno unalikosea makusudi au haujui? Linaandikwa wakristo
Ukuristo ni dini wa kristu ni watu wanao fuata ukristo......verb vs noun mkuu. ........ile tuende kwenye mada kuu hao watu hizo tamaduni za maua kupelekwa makaburini wana zitoa wapi?
 
Nadhani wewe pia unaweza ukawa unaongoza Kwa Ujinga kwasababu unachangia mada ambayo haikuhusu!

Kuna mada zisizohusu wengine, hadharani ndugu?

Si ndiyo maana za vyumbani, pelekeni DM huko.

Hadharani mkiandika upuuzi, za uso hamtaziepuka.

Hii bila kujali nani ni nani!

Habari ndiyo hiyo!
 
Ukuristo ni dini wa kristu ni watu wanao fuata ukristo......verb vs noun mkuu. ........ile tuende kwenye mada kuu hao watu hizo tamaduni za maua kupelekwa makaburini wana zitoa wapi?
Kila mtu afanye aonavyo yeye ni sawa, sio lazima kila kitu tufanye reference Kwa koran(Waarabu) au biblia(wazungu). Kama jambo hukubaliani nalo unakaaa pembeni wahusika wakimaliza unaongana nao katika yale mnayoshare
 
N

Na nani na lilikuwa na maana Gani?

Ile taji ya miiba ilikuwa dhihaka Kwa sababu yesu alikuwa anajiita mfalme wa wayahudi ndo wakaamua kumvisha. Swali je na kabulini waliweka maua?
Mkuu huo ushahidi unautoa wapi? Unasho maanisha lile shada la miiba Mungu alikubali mwanae adhalilishwe kiasi hicho haliakua alikua na uwezo kuwazuia,
 
Hajakosea ndio maana atakata kujua umhimu Hadi mvua iwanyeshee Kuna ulazima upi wa kuweka hayo maua?
 
Kila mtu afanye aonavyo yeye ni sawa, sio lazima kila kitu tufanye reference Kwa koran(Waarabu) au biblia(wazungu). Kama jambo hukubaliani nalo unakaaa pembeni wahusika wakimaliza unaongana nao katika yale mnayoshare
Wewe huna muongozo unafuata upepo kama bendera ya Ccm, utamaliza maisha naushoga kisa huna kitabu kukuongoza.
 
Wewe huna muongozo unafuata upepo kama bendera ya Ccm, utamaliza maisha naushoga kisa huna kitabu kukuongoza.
Nkishaona mwanaume jambo dogo unakimbilia kichaka Cha mambo ya ushoga naona ni wale wale tu. Uwe na wakati mwema
 
Nkishaona mwanaume jambo dogo unakimbilia kichaka Cha mambo ya ushoga naona ni wale wale tu. Uwe na wakati mwema
Mkuu hapana mimi nachukia sana ushoga na watu wanao shadadia ushoga, nikipewa nafasi nawezi kuumaliza kwa kuwaua kabisa.
 
Hahahah yani nikweli umepata likes zote hizi kwa hiki ulichoandika duuh hahahah
 
Mkuu hapana mimi nachukia sana ushoga na watu wanao shadadia ushoga, nikipewa nafasi nawezi kuumaliza kwa kuwaua kabisa.
Sasa hapo umeni-attack na content ya ushoga kwa sababu gani?
 
Sasa hapo umeni-attack na content ya ushoga kwa sababu gani?
Maudhui hayakua ya ushoga mkuu, yLikua kufuata kitu bila kua muongozo, huenda ukamalizia pabaya ndo rai yangu hiyo.
 
Mkuu umeiona mada nyingine hii maudhui kama yako?

Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

"Yako kama hii haichukui muda kuona yaliyofichika."

Wewe kama yeye hawaulizi tu, ila angalia vilivyomo.

Mtu ukajiuliza, siyo mambo ya Ngoswe haya?
 
Elimu yangu haina uhusiano na kuweka mashada kwenye kaburi, nyie wenye elimu ndo mnafanya huo ujinga wa kuiga bila kutumia mantiki.
Vitu vingi tumeiga,kuiga sio dhambi,bila kuiga leo hii usingejisitiri kwa nguo waka usingejenga nyumba wala usingetumia smart phone,maana sio asili ya muafrica,kuiga ruksa ili mradi usivunje sheria au kumkufuru Mungu
 
Mwaka 2022 wakati wa maziko ya marehemu Mama yangu hicho kipengele nilikikwepa kabisa
Maana nilijiuliza tangu amenizaa hadi anafariki sikuwahi kumpa maua hata siku moja.
 
wewe umeshawahi kuosha maiti ya muislam??
 
Vitu vingi tumeiga,kuiga sio dhambi,bila kuiga leo hii usingejisitiri kwa nguo waka usingejenga nyumba wala usingetumia smart phone,maana sio asili ya muafrica,kuiga ruksa ili mradi usivunje sheria au kumkufuru Mungu
hawa ni miongozi mwa viazi mbatata,wanaojifanua wameamka kwa kukataa mila na mambo ya kizungu,wakati wanajipa standard za mafanikio kupitia mavifaa ya hap hao wazungu,migari ya gharama hawapandi punda,majumba ya maana hawakai ktk vienge,masimu ya gaharama hawatumi watu na punda tena.

😂😂😂ukishakuwa mtumwa wa kiakili,hata unapodhani umeamka utakuwa umeamka ukiwa bado mtumwa.
 
Niliwahi kumtoa mwanamke aliyekaingia kaburini kupokea mwili wa mjomba nikawaambia msilete mila zenu za kipuuzi tangu lini mwanamke akaingia kaburini huu ni ukristo wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…