Na ndio maana teuzi zinampita mbali.Genta si Mbumbumbu.
Mkuu una akili ndefuNingekuona kuwa una 'Akili' zilizokutosha kama ungeanza 'Kuwakosoa' hao akina Rais JPM na Askofu Gwajima waache kuwa na 'Kauli' za Kifedhuli.
Sasa kama huna uhakika kiherehere cha nini?Sina uhakika bwashee!
Maisha mara nyingi Sisi binadamu huwa tunabaniana Sana, lkn ijulikane, kama Imeandikwa yes Kwa Gambo, hiyo sauti ya inayofanyiwa kuwa ndio campeni za mpinzani wake hazitasaidia kumzuia Gambo kuwa Mbunge wa Arusha, vivyohivyo Kwa GWAJIMA,Ningekuona kuwa una 'Akili' zilizokutosha kama ungeanza 'Kuwakosoa' hao akina Rais JPM na Askofu Gwajima waache kuwa na 'Kauli' za Kifedhuli.
Mama tulia uzae salama utaua kiumbe hichoLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Una majibu ya ki genius!Ningekuona kuwa una 'Akili' zilizokutosha kama ungeanza 'Kuwakosoa' hao akina Rais JPM na Askofu Gwajima waache kuwa na 'Kauli' za Kifedhuli.
Na wewe kauli yako hiyo ni ya kifedhuli sana kwa Rais wetu!
Mkuu una akili ndefu
Mkuu hapo utamlaumu mchoraji bure, Meko ndivyo alivyo...Duh!!
..aliyechora picha hii atakuwa na mtu wa Chadema.
Una majibu ya ki genius!
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Maisha mara nyingi Sisi binadamu huwa tunabaniana Sana, lkn ijulikane, kama Imeandikwa yes Kwa Gambo, hiyo sauti ya inayofanyiwa kuwa ndio campeni za mpinzani wake hazitasaidia kumzuia Gambo kuwa Mbunge wa Arusha, vivyohivyo Kwa GWAJIMA,
Mara zote, binadamu huwa hatuijui Kesho, ni rahisi kuropoka juu ya kesho Wakati huohuo usijue litakalozaliwa juu ya kesho yako
Kila lililoandikwa juu ya maisha yako, amini halitapita, ni sharti litime ndipo umauti ukupate, haijalishi hata Historia yako wewe mwenyewe inakuchanganya
Wewe huogopi mitama bwashee?!Sasa kama huna uhakika kiherehere cha nini?
Bwashee thread zako siku hizi zimekaa kibange bange sana.
Kama kawaida mkikwama majukwaani mnarudisha mpira kwa kipaLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu hapo utamlaumu mchoraji bure, Meko ndivyo alivyo.
Mkuu, Magufuli utamwonea, waulizwe wajumbe..lakini Gwajima naye alikuwa anafikiria nini mpaka kutoa matamshi dhidi ya Waislamu?
..au kauli kwa waumini wake kwamba fedha za kununua treni zimepatikana.
..pia Jiwe anapaswa kutueleza kwanini Kamati Kuu imempitisha Mrisho Gambo baada ya kuwa amefukuzwa ukuu wa mkoa kwa sababu ambazo zinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Tuhuma za rushwa, udini, na uchonganishi kazini.
Hivi ni kweli Mwenyekiti wa CCM ameiba ardhi huko Kagera?Wameishiwa Hoja hao wapuuzi