Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Ningekuona kuwa una 'Akili' zilizokutosha kama ungeanza 'Kuwakosoa' hao akina Rais JPM na Askofu Gwajima waache kuwa na 'Kauli' za Kifedhuli.
Maisha mara nyingi Sisi binadamu huwa tunabaniana Sana, lkn ijulikane, kama Imeandikwa yes Kwa Gambo, hiyo sauti ya inayofanyiwa kuwa ndio campeni za mpinzani wake hazitasaidia kumzuia Gambo kuwa Mbunge wa Arusha, vivyohivyo Kwa GWAJIMA,

Mara zote, binadamu huwa hatuijui Kesho, ni rahisi kuropoka juu ya kesho Wakati huohuo usijue litakalozaliwa juu ya kesho yako

Kila lililoandikwa juu ya maisha yako, amini halitapita, ni sharti litime ndipo umauti ukupate, haijalishi hata Historia yako wewe mwenyewe inakuchanganya
 
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa mbunge.

Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.

Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.

Maendeleo hayana vyama!
Mama tulia uzae salama utaua kiumbe hicho
 
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.

Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.

Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.

Maendeleo hayana vyama!

Kwani wamezuiwa kufanya hivyooo
 
Maisha mara nyingi Sisi binadamu huwa tunabaniana Sana, lkn ijulikane, kama Imeandikwa yes Kwa Gambo, hiyo sauti ya inayofanyiwa kuwa ndio campeni za mpinzani wake hazitasaidia kumzuia Gambo kuwa Mbunge wa Arusha, vivyohivyo Kwa GWAJIMA,

Mara zote, binadamu huwa hatuijui Kesho, ni rahisi kuropoka juu ya kesho Wakati huohuo usijue litakalozaliwa juu ya kesho yako

Kila lililoandikwa juu ya maisha yako, amini halitapita, ni sharti litime ndipo umauti ukupate, haijalishi hata Historia yako wewe mwenyewe inakuchanganya

..lakini Gwajima naye alikuwa anafikiria nini mpaka kutoa matamshi dhidi ya Waislamu?

..au kauli kwa waumini wake kwamba fedha za kununua treni zimepatikana.

..pia Jiwe anapaswa kutueleza kwanini Kamati Kuu imempitisha Mrisho Gambo baada ya kuwa amefukuzwa ukuu wa mkoa kwa sababu ambazo zinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Tuhuma za rushwa, udini, na uchonganishi kazini.
 
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.

Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.

Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.

Maendeleo hayana vyama!
Kama kawaida mkikwama majukwaani mnarudisha mpira kwa kipa
 
Hiyo Ni nzuri; next time wawe Makini na maneno na matendo yao in public
 
..lakini Gwajima naye alikuwa anafikiria nini mpaka kutoa matamshi dhidi ya Waislamu?

..au kauli kwa waumini wake kwamba fedha za kununua treni zimepatikana.

..pia Jiwe anapaswa kutueleza kwanini Kamati Kuu imempitisha Mrisho Gambo baada ya kuwa amefukuzwa ukuu wa mkoa kwa sababu ambazo zinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Tuhuma za rushwa, udini, na uchonganishi kazini.
Mkuu, Magufuli utamwonea, waulizwe wajumbe
 
Back
Top Bottom