Udogo wa kero unategemea kiroho uko vipi.Kero Yao ndogo kulinganisha na hao wengine
amen Mkuu barikiwa sanaa 🙏🙏🙏Nunua gari lako...wengine tunapenda mahubiri
Sasa Kama mnapenda hayo mahubiri si mwende kwenye Nyumba za ibada, na ma bus yabaki kua ni kwa ajili ya safari na si vinginevyo!!!Nunua gari lako...wengine tunapenda mahubiri
Inatakiwa wakubaliene na kitu kimoja kwamba jamii yetu ni mchanganyiko watu wenye Imani,tamaduni na ustaarabu tofauti haiwezekani uje kwenye daladala utuhubirie kama upo kanisani na waumini wenzio .Udogo wa kero unategemea kiroho uko vipi.
Ukiwa na nguvu za Mungu huwezi kuona kero mtu anaposema neno la Mungu.
Mkuu acha kiburi cha uzima. Shetani anakuwa kazini sana kipindi cha safari. Ndio maana madereva wametulia hawapati kero ila wewe abiria unaona kero.Sasa Kama mnapenda hayo mahubiri si mwende kwenye Nyumba za ibada, na ma bus yabaki kua ni kwa ajili ya safari na si vinginevyo!!!
Kwani wamekwambia wanavuta watu ama wanahubiri tuuHebu vuta picha wangekuwa waislamu au waislamu na wao wafanye kama hivyo tungepata utulivu kweli. Ibada inatakiwa ifanyike sehemu maalumu ambayo imeshatengwa (msikitini, kanisani) at least wanaojenga majukwaa mitaani ,sio hao wengine kila Kona wanahubiri tu inakuwa sasa kama wamekosa namna ya huwavuta watu kwenye dini wanaamua kulazimisha
Kwa hiyo shida yako ni kero ya kelele au tofauti ya kiimani!Inatakiwa wakubaliene na kitu kimoja kwamba jamii yetu ni mchanganyiko watu wenye Imani,tamaduni na ustaarabu tofauti haiwezekani uje kwenye daladala utuhubirie kama upo kanisani na waumini wenzio .
Kila mtu anao uhuru lakini ustaarabu wa watu wengine ni jambo la kuzingati
Kwani wamekwambia wanavuta watu ama wanahubiri tuuHebu vuta picha wangekuwa waislamu au waislamu na wao wafanye kama hivyo tungepata utulivu kweli. Ibada inatakiwa ifanyike sehemu maalumu ambayo imeshatengwa (msikitini, kanisani) at least wanaojenga majukwaa mitaani ,sio hao wengine kila Kona wanahubiri tu inakuwa sasa kama wamekosa namna ya huwavuta watu kwenye dini wanaamua kulazimisha
huu utaratibu upo Kenya, zambia ,congo na Zimbabwe ...mabus yote huwa wanaingia watumishi na wanaomba na kusepaMtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Shida ni hizo kero Imani haiwezi Kuna tatizo kwangu kwasababu natambua kila mtu anayo haki ku-practice Imani yake lakini katika kiwango kisicho leta usumbufu kwa wengine ,ndio maana tunapiga kelele sauti za mahubiri jioni na za adhana asubuh zipunguzwe na sio zitolewe ,Kila kitu kifanyike mahala pake palipo kusudiwaKwa hiyo shida yako ni kero ya kelele au tofauti ya kiimani!
Hivi atakuwa kweli hapendi mahubiri au anachoshauri ni mahubiri hayo kufanyika sehemu rasmi?Mungu ni kila kitu jamani, ingekua kheri kumtukuza Mungu kila pahala. Mtu asiyependa mahubiri ana mapepo ya kutosha, kwake ni kero!
Kama kwako unaona unahitaji kupumzika, Mungu naye apumzishe Pumzi yake kwa wakati huo au aondoe macho yako kwa wakati huo - kisha tuone kama ungekataa mahubiri. Mungu ni Yote katika Yote.
Tena nakushauri umpokee huyo YESU maana bila YESU ni ubatili na kujilisha upepo.
Ina maana haitoshi kuhubiri kanisani au kujenga jukwaa na ukahubiri zako hadi usumbue watu kwenye mabasiKwani wamekwambia wanavuta watu ama wanahubiri tuu
Shida si kwamba watu hawapendi au wanachukia mahubiri , tatizo kwanini pasitumike maeneo maalumu kwaajili ya kuhubiri sio kila mahali ukiwaona tu wejikusanya mahubiri yanaanza hapo hapoHivi atakuwa kweli hapendi mahubiri au anachoshauri ni mahubiri hayo kufanyika sehemu rasmi?
injili inahubiriwa na itahubiriwa - kila mahala mkuu, na kwa kila kiumbe.... nawewe unapinga injili nini?Hivi atakuwa kweli hapendi mahubiri au anachoshauri ni mahubiri hayo kufanyika sehemu rasmi?
Unajichanganya. Nishakusoma tatizo lako. Jaa nguvu za Mungu hutasumbuliwa na imani ya aina yoyote.Shida ni hizo kero Imani haiwezi Kuna tatizo kwangu kwasababu natambua kila mtu anayo haki ku-practice Imani yake lakini katika kiwango kisicho leta usumbufu kwa wengine ,ndio maana tunapiga kelele sauti za mahubiri jioni na za adhana asubuh zipunguzwe na sio zitolewe ,Kila kitu kifanyike mahala pake palipo kusudiwa
[emoji23]Kuhubiri sio shida kwangu.
Sadaka ndo Kimbembe