MAHUBIRI SIYO KELELE, TAMBUA HILO KWANZA...Jibu hoja achaa hasira za mkizi, kwani tuko hapa kujua mmiliki wa bus au Makelele ndani ya bus!!??
WEWE NDIYO UNAMAPEPOMapepo yamejaa kwa wagalatia kutwa kuchwa kudondoka makanisani
WA KUABUDUUhuru gani Mkuu
UKIONA KERO WEKA EARPHONES MASIKIONI, HALAFU LALAAcheni kushabikia vitu vya ajabu,kuhubiri kwenye magari ya abiria sio utaratibu,mtu kama anataka kuhubiri afungue kanisa au msikiti.
Ni kero
INJILI LAZIMA IHUBIRIWE KWA KILA KIUMBE, MPAKA MAPEPO YATOKEKwani kusikiliza neno la mungu ni lazima?
ULITAKA APANDE BASI KWA RUHUSA YAKO...?Hatubishani sisi hapa tunafahamishana kama watu wazima tuliostaarika ,hata nikilinunua Hilo bus Bado usumbufu hauta koma .
Tukiwa na shida ya mahubiri tunafungulia redio tuwasikilize au tutakuja kanisani kwa ridhaa zetu na kama mnataka tupate mahubiri basi andaeni semina maalumu au jengeni majukwaa watu watakuja kwa hiari zao
TULIA DAWA YA INJILI YA YESU KRISTO IPENYE, HAHAH YEEAH...!!!Nachukia kwelikweli, kwa vile tu sina uwezo wa kumchomoa kwenye gari
Sitoi ruhusa kwa yeyote tunataka wawe watulivu kwenye mabasi kama wanashindwa kuvumilia kuhubiri basi waandike vipeperushi vya mahubiri wagawe kwa watu wanaopenda watasomaULITAKA APANDE BASI KWA RUHUSA YAKO...?
Sio lazima ila ni vyema..ila tatizo binadamu wa sikuhizi wabishi sanaKwani kusikiliza neno la mungu ni lazima?
Mwisho wa uhuru wako ,ni mwanzo wa ustaarabu wa mwengine ndio serikari emetoa uhuru wa kuabudu kwa kila mtu lkn imewalimit kwenye matumizi ya vipaza sauti sababu ya kuheshimu ustaarabu wa wengineWA KUABUDU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KAMA BADO UNAPANDA PUBLIC TRANSPORT WEWE NI MASKINI, UNAHITAJI INJILI KALI SANA.
Binafsi naomba waongeze muda dakika tatu hazitoshi
Tukiwaendekeza watu kama nyie mtakuja kulalama pia azana inawapigia kelele asubh mkiwa na hangover ya janaMtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Neno la Mungu fanyia nyumban kwako na familia yako, acha kusumbua watu kwenye safariNapenda mahubiri...
Neno la Mungu ni taa na mwanga linatumulika popote tunapokwenda...