Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787]KAMA BADO UNAPANDA PUBLIC TRANSPORT WEWE NI MASKINI, UNAHITAJI INJILI KALI SANA.
Binafsi naomba waongeze muda dakika tatu hazitoshi
Hutaki mahubiri basi tembea kwa mguu,achana na magari.Stendi huwa kuna gari nyingi, dereva na kondakta wake waambie abiria kabla hawajalipa kwamba kutakuwa na kipindi cha mahubiri kwenye gari yao.
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Sasa kwa nini hukumpa?Nawapenda San wanaohubiri ktk magari na masokoni Jana nilipita karume nikamkuta mama anahubiri pale machinga complex aisee roho ilimiuuma sna kwann sijampa sadaka yangu
Nawafundisha wanaokufanya ulale unakoroma kama generator mbovu, fisi weweMwalimu usiejitambua,hao wanafunzi sijui unawafundishaje
Binafsi sioni shida kwa kuhubiriwa neno la mungu kwa maana hata kufika salama huko niendako ni kwa neema za mungu.Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Kuhubiri pia ni kazi. Au unadhani mashehe, mapadre na wachungaji ni wazururaji?Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
KAMA BADO UNAPANDA PUBLIC TRANSPORT WEWE NI MASKINI, UNAHITAJI INJILI KALI SANA.
Binafsi naomba waongeze muda dakika tatu hazitoshi
Biblia naipenda maana hutoa maonyo mapema, Mathayo 7:15-29 " Jihadharini na manabii wa uongo wanawajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali mtawatambua kwa matendo yao..."Mathayo 24:14
Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
Kama kanisani huendi , msikitini huendi, chaneli za dini husikilizi wala kuangalia, bora injili ikufuate hukohuko.
Biblia naipenda maana hutoa maonyo mapema, Mathayo 7:15-29 " Jihadharini na manabii wa uongo wanawajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali mtawatambua kwa matendo yao"
Hao wanaojiita manabii mafunzo yao tu yanatosha kuta
Biblia naipenda maana hutoa maonyo mapema, Mathayo 7:15-29 " Jihadharini na manabii wa uongo wanawajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali mtawatambua kwa matendo yao"
Hao wanaojiita manabii mafunzo yao tu yanatosha kutambua kuwa ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine, mafundisho yao ni kutoa tu, yaani wanawaibia na kuwanyonya watu kwa mwamvuli wa dini.
Daaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kila mtu afurahie uhuru wake pasipo kuvunja amani
Alafu Acha shobo ukiwa na gari yako binafsi hutasumbuliwa na mhubiri yoyote
Kwani Muslims hawataki habari njema?I have never seen these people on Airplane but again I can not be angry with them although it's very boring for Muslim.
Sijui yaani Seema nilikuwa nawai siti nikae katk daladla ila popotr nikimuona yule mam na bint ake nikashuka kuwapa sadak yanguSasa kwa nini hukumpa?
Bado Mabohora, budha n.kKila kitu kiwe na utaratibu wake hii ninkero kibwa sana, sasa mkristo ahibiri na muislam atoe neno kwenye piblic transport hio haiwezi kuwa sawa