Huu uvumbuzi ukija bongo tumekwisha

Labda uwe na chip mwilini mwako, hakuna kitu kama hicho
 
Hebu ngoja kwanza......nikiwaza kwa kutumia lugha mama mfano kimakonde hilo roboti litanigundua kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eh
 
Hiyo Robot inasoma mawazo ya mtu yule aliyekuwa na chip mwilini wake hiyo Ndo Technology ya 666.
Shetani hana uwezo wa kusoma mawazo ya mtu ispokuwa anajua unachowaza kwa ishara yako unayofanya wakati unawaza
666 unawekwa mkonon au kwenye paji la uso.
Twende tukachanjwe
 
SI KWELI. Wanapigia chapuo ndoto zao. Yenyewe inategemea binadamu itamzidije?
 
Kuna watu wataachika balaa[emoji28][emoji28]
 
Simple, kama ni mahakamani robot ikiletwa tu mbele yako unaacha kuwaza uliyonayo unaanza kuwaza mambo ya kanisani na kumuombea hakimu aishi maisha marefu
 
itakuwa ngumu sana kuprove hicho anakisema robot kama ni sahihi, haitofanikiwa, yaan robot iseme nawaza kumtafuna shemeji yangu
 
Mule mule kaka atakaye elewa aelewe
 
Ni uongo mtupu hakuna mtu au jini au shetan au malaika ajuaye akiwazacho mwanadam n MUNGU pekee rejea yeremia 17 :9 1wakorintho wa 2; 11
 
Hii inaweza pia kusaidia kwenye masuala ya Interrogation/Kiuchunguzi kama mbadala wa Polygraph Test.
 
Mimi screen ya robot itajaa majina ya ex wangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…