Huu uwekezaji kibiashara kwenye kambi zetu za JWTZ, nani kauruhusu?

Jeshi linajiongezea kipato kwa kupangisha fremu?
2026 unapongeza jeshi kwa mradi wa kujenga fremu?

Wenzetu jeshi ndio hifanya gunduzi nyingi za kisayansi. Kwa nini lisiwekeze kwenye technology, au kuwa na factory hata ya kuunda silaha wenyewe?

Nani kapongeza mkuu mbona unanilisha maneno?

Mm nimesema kamani miradi yao hakuna shida, Hawajavunja sheria yeyote ya hii Nchi.

Kuwekeza kwenye technology lazima wawe na hyo budget. Na hilo ni swala la Sera za Nchi wanatakiwa wahojiwe wabunge na mawaziri sio JWTZ
 
Jeshi haliwezi kuwa na mradi wa kupangisha fremu alafu useme hakuna shida. shida ipo

Jeshi kama zilivyo faasisi zingine,zina uongozi kutokuwekeza kwenye technology anahojiwa vipi mbunge au waziri? Kwa hiyo jeshi likifeli kwenda mafunzoni au likishindwa mission zake ahojiwe waziri? Wao kama wao wanawajibika kwenye nini? Au wao wapo perfect?
 
Jeshi kujitegemea ni kupitia taasisi zake ikiwemo SUMA jkt lakini sio kujenga na kupangisha fremu.
Wakati wa magufuli jeshi halikujenga hizo fremu na kupangisha raia, huo utaratibu umeanza 2022
Mkuu ni kwamba hilo jeshi halina akili nje ya frame. Ukiona jeshi linajiita imara kwa kupiga raia wasio na silaha, usitegemee akili kubwa hivyo kuwepo humo.
 
Anapongeza jeshi kuwa na mradi wa kupangisha fremu. Aibu hii

Rwanda nchi ndogo tu lakini imeweza kutengeneza bunduki zake wenyewe. Huku watu wanapongeza jeshi kujenga fremu na kupangisha wauza nguo, mikoba na vijora
 
Ukweli ni upi?
Jeshi linapaswa kufanya kazi na serekali kwenye miradi mikubwa yenye tija kama, scheme kubwa za umwagiliaji, miradi ya nyumba za bei nafuu mijini na vijijini, ujenzi wa miundombinu hasa ya serekali ili kuokoa gharama kwa serekali. Sasa kumkuta CDF anasumbuana na dada aliyefungua salon na anachelewesha kodi inakaaje hiyo?
 
Kigamboni navy kuna frame nje ya Kambi zaidi ya 20
Rongoni beach resort ni kambini ila kumesheheni biashara ya madada poa
Huwa nawaona hawana maana wanapostaafu wanasifiwa kwa utumishi uliotukuka, huku hawajahi hata kupigana vita zaidi ya kwenda kupiga parade. Cha ajabu hata wao wakisikia maneno hayo wanachekelea!
 
Anapongeza jeshi kuwa na mradi wa kupangisha fremu. Aibu hii

Rwanda nchi ndogo tu lakini imeweza kutengeneza bunduki zake wenyewe. Huku watu wanapongeza jeshi kujenga fremu na kupangisha wauza nguo, mikoba na vijora

Sasa wewe unaona kutengeneza bunduki Ni technologia kubwa sana?

Hao JWTZ wakiwekewa budget wanatengeneza tu, Mbona hayo mambo madogo sna.

Mwal. Nyerere aliweza kuanzisha Viwanda vingi miaka ya 1967 ndo tushindwe leo 2025.

Siku Serikali ikiamua kwa dhati kabisa kutengeneza siraha kupitia JWTZ watatengeza tuu, ila sasa wataanzaje wakati wenye Tenda za kuagiza siraha kutoka mataifa ya Nje ni wao wenyewe?

Yaani mtengeneze hapa Tz kwa bei ndogo, watu wakose kupiga 20% kwenye uagizaji huko nje?

Mtalaumiana sana huku chini mpaka mtoane meno, huko juu ndo wanacho kipenda.
 
Jeshi linapaswa kufanya kazi na serekali kwenye miradi mikubwa yenye tija kama, scheme kubwa za umwagiliaji, miradi ya nyumba za bei nafuu mijini na vijijini, ujenzi wa miundombinu hasa ya serekali ili kuokoa gharama kwa serekali. Sasa kumkuta CDF anasumbuana na dada aliyefungua salon na anachelewesha kodi inakaaje hiyo?
Kwa wenzetu jeshini ndio sehemu gunduzi nyingi hufanyika, technology nyingi huanzia jeshini
Leo hii fikkiria wenzetu huko majeshini wanatengeneza ndege za kivita zisizoonekana kwenye radar. Wapo busy kuunda silaha za kemikali, wapo busy kuunda satellites zao.

Huku tunajenga fremu kusubiri kodi ya mdada aliyefungua salon za kupaka rangi kucha
 
SUMA JKT wana miradi mingi Sana
SACCOS
kampuni za usafi
Kampuni za fumigation
Kampuni za ulinzi
Kilimo, pembejeo na vifaa vinginevyo
Kampuni za ujenzi
Nknk
Nadhani wana mpango wa kufungua bank itakayojulikana kama SUMA MICRO FINANCE BANK
Pale mlalakuwa jkt walipopanunua enzi za mwamunyange wakaja na idea ya kuweka kituo cha mafuta

Ova
 
Sasa wewe unaona kutengeneza bunduki Ni technologia kubwa sana?

Hao JWTZ wakiwekewa budget wanatengeneza tu, Mbona hayo mambo madogo sna.

Mwal. Nyerere aliweza kuanzisha Viwanda vingi miaka ya 1967 ndo tushindwe leo 2025.

Siku Serikali ikiamua kwa dhati kabisa kutengeneza siraha kupitia JWTZ watatengeza tuu, ila sasa wataanzaje wakati wenye Tenda za kuagiza siraha kutoka mataifa ya Nje ni wao wenyewe?

Yaani mtengeneze hapa Tz kwa bei ndogo, watu wakose kupiga 20% kwenye uagizaji huko nje?

Mtalaumiana sana huku chini mpaka mtoane meno, huko juu ndo wanacho kipenda.
Tukiamia tunaweza sio jambo kubwa?
Kuna ule msemo unaosema if wishes were horses.
Sawa na mimi niseme kuwa naweza kununua ndege Ila sijaamua tu

Kwa hiyo bajeti ya kujenga fremu ipo Ila bajeti ya kuunda silaha haipo? Hapo hapo unasema kuunda silaha sio jambo kubwa sana

Kea hiyo tuendelee kulipongeza jeshi kwa kujenga fremu kupangisha wauza mitumba?
 
Salaam ipo mwishoni
  1. Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu
Pale sio eneo la medani, ni eneo la makazi, eneo la medani ni opposite mkono wa kulia na liko salama.
Kwa mtazamo wangu, maeneo ambayo JWTZ ya mijini wanayoona yapo pweke, wangejenga vituo vya mafunzo kwa umma na maabara za kiuchunguzi na utafiti kwa manufaa ya jamii.
Kufuatia Maendeleo ya siyasi na teknolojia on warfare , jeshi halihitaji mieneo mikuubwa yote ile, vifaa vya kisasa vinahitaji eneo dogo, jeshi dogo, vida vea kisasa vidogo, mazoezi ya kisasa madogo, hivyo naunga mkono maeneo hayo yawe invested .
Hapo Lugalo, badala ya kuzungusha ukuta mkavu, eneo la ukuta ndio limejengwa frame and make money.
Hata kile kilima cha nyumba ya CDF, ni too vast area , iwe invested,
Nimejiuliza maswali haya na nimekosa majibu, nimeona nishirikishane nanyi tuweze kuona athari zinazotujia coldly.
  1. Nani anafaidika na hizi mbanga za uwekezaji kwenye makambi yetu ya JWTZ?
Wananchi wa Tanzania ndio wafaidika wakuu, wakifuatiwa na JWTZ wenyewe. From Mwenge hadi Mbezi Beach, hakuna any decent place ya fast food and kilaji, angalau pale jioni panachangamka pana changamsha, hakuna any sensitive militari warfare eneo hilo kuhatarisha usalama wa kambi zetu.
  1. Hazina ina rekodi vipi mapato ya uwekezaji huu?
Eneo ni la jeshi, what has hazina got to do with this?. Biashara zote zinazofanyika hypo ni legit , leseni zipo na kodi zote za serikali zinalipwa,
  1. Lengo ni nini?
Kulikwamua jeshi kiuchumi kujigharimia vitu vidogo vidogo!.
Salaam za upendo kwenu nyote wema na wabaya
Upendo na kwako pia.
P
 
Salaam ipo mwishoni
  1. Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu
  2. Lugalo pembezoni mwa shule ya Makongo uelekeo wa Mwenge kuna yard kubwa ya mjezi wa barabara imejengwa ndani ya Kambi
  3. Lugalo maeneo ya Mwenge Mlalakuwa kona ya kuelekea Efatha kuna bar na ukumbi wa starehe umejengwa just nyuma ya bango la MILITARY BASE
  4. Ngome SACCOS social hall hapo kambini upande wa Mlalakuwa.....
  5. Mbagala Kizuiani upande wa Zakhem, kuna kituo cha Mafuta kimejengwa ndani ya eneo la JWTZ.
  6. Mbagala Kizuiani, kuna yard ya malori imejengwa ndani ya kambi ya JWTZ eneo alilojenga yard ya ujenzi mkandarasi kutoka China.
Hapo nimetaja kwa uchache. Ukiangalia makambi ya JWTZ yaliyopo mijini yamegeuzwa kuwa ya kibiashara, zipo kauli kwamba Waarabu webinafsishwa maeneo hayo ndo maana hata vituo vya mafuta vinajengwa humo bila kujali athari zake kiulinzi.

Kwa mtazamo wangu, maeneo ambayo JWTZ ya mijini wanayoona yapo pweke, wangejenga vituo vya mafunzo kwa umma na maabara za kiuchunguzi na utafiti kwa manufaa ya jamii.

Nimejiuliza maswali haya na nimekosa majibu, nimeona nishirikishane nanyi tuweze kuona athari zinazotujia coldly.
  1. Nani anafaidika na hizi mbanga za uwekezaji kwenye makambi yetu ya JWTZ?
  2. Hazina ina rekodi vipi mapato ya uwekezaji huu?
  3. Lengo ni nini?
Salaam za upendo kwenu nyote wema na wabaya
Walishaambiwa kila watu wale kwa urefu wa kamba zao. Sasa hao wa jeshini kamba zao si humo humo jeshini?
 
Kigamboni navy kuna frame nje ya Kambi zaidi ya 20
Rongoni beach resort ni kambini ila kumesheheni biashara ya madada poa
Ndani kuna parking ya magari.
MP ndo wanaratibu madereva.....

Aibu ni kuwa huu wanaita ubunifu
 
Pale sio eneo la medani, ni eneo la makazi, eneo la medani ni opposite mkono wa kulia na liko salama.

Kufuatia Maendeleo ya siyasi na teknolojia on warfare , jeshi halihitaji mieneo mikuubwa yote ile, vifaa vya kisasa vinahitaji eneo dogo, jeshi dogo, vida vea kisasa vidogo, mazoezi ya kisasa madogo, hivyo naunga mkono maeneo hayo yawe invested .
Hapo Lugalo, badala ya kuzungusha ukuta mkavu, eneo la ukuta ndio limejengwa frame and make money.
Hata kile kilima cha nyumba ya CDF, ni too vast area , iwe invested,

Wananchi wa Tanzania ndio wafaidika wakuu, wakifuatiwa na JWTZ wenyewe. From Mwenge hadi Mbezi Beach, hakuna any decent place ya fast food and kilaji, angalau pale jioni panachangamka pana changamsha, hakuna any sensitive militari warfare eneo hilo kuhatarisha usalama wa kambi zetu.

Eneo ni la jeshi, what has hazina got to do with this?. Biashara zote zinazofanyika hypo ni legit , leseni zipo na kodi zote za serikali zinalipwa,

Kulikwamua jeshi kiuchumi kujigharimia vitu vidogo vidogo!.

Upendo na kwako pia.
P
Neno TUMIA AKILI siyo geni katika huu umri wetu
 
Mkuu ni kwamba hilo jeshi halina akili nje ya frame. Ukiona jeshi linajiita imara kwa kupiga raia wasio na silaha, usitegemee akili kubwa hivyo kuwepo humo.
Si unamuona amiri jeshi wao anaenda kuwaomba msamaha mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa kwamba aliwazimia mitandao ili awaue Watanzania.

Akili zile ni ushauri kutoka majeshi yetu.

Akili visoda
 
Pale sio eneo la medani, ni eneo la makazi, eneo la medani ni opposite mkono wa kulia na liko salama.

Kufuatia Maendeleo ya siyasi na teknolojia on warfare , jeshi halihitaji mieneo mikuubwa yote ile, vifaa vya kisasa vinahitaji eneo dogo, jeshi dogo, vida vea kisasa vidogo, mazoezi ya kisasa madogo, hivyo naunga mkono maeneo hayo yawe invested .
Hapo Lugalo, badala ya kuzungusha ukuta mkavu, eneo la ukuta ndio limejengwa frame and make money.
Hata kile kilima cha nyumba ya CDF, ni too vast area , iwe invested,

Wananchi wa Tanzania ndio wafaidika wakuu, wakifuatiwa na JWTZ wenyewe. From Mwenge hadi Mbezi Beach, hakuna any decent place ya fast food and kilaji, angalau pale jioni panachangamka pana changamsha, hakuna any sensitive militari warfare eneo hilo kuhatarisha usalama wa kambi zetu.

Eneo ni la jeshi, what has hazina got to do with this?. Biashara zote zinazofanyika hypo ni legit , leseni zipo na kodi zote za serikali zinalipwa,

Kulikwamua jeshi kiuchumi kujigharimia vitu vidogo vidogo!.

Upendo na kwako pia.
P
Jeshi haliwezi kumake money kwa kupangisha fremu, hiyo ni investment kichaa. Uzuri au ubaya wako ni kuwa akija raisi mwingine akaona kilichofanyika ni ujinga utakuja na bandiko refu la kumpongeza. Una unafki

Kwenye ulimwengu wa sasa wa technology huwezi kusifia jeshi kujenga fremu za kupangisha. Kama eneo ni kubwa sana wajenge hata chuo cha kati cha mafunzo. Nchi haiwezi kuendelea kwa kujaza fremu zinazouza nguo na viatu kutoka China
 
Huyo ndugu yetu uzee umemuingia vibaya sana.

Anaandika kumridhisha muuaji.
Haamini kwenye utunduizi wa kifikra bali anapambana kuwasafisha wahuni wanaoiendesha serikali.
 
Walishaambiwa kila watu wale kwa urefu wa kamba zao. Sasa hao wa jeshini kamba zao si humo humo jeshini?
Jeshi imara linalopambana na raia wanaokandamizwa na kuuawa na viongozi
 
Wakati Jeshi letu linabuni mapato kwa kujenga Frame ,Wenzetu wanatumia Majeshi yao kwa tafiti kubwa za kisayansi ,wanafadhili research mbalimbali za uvumbuzi , wanatengeneza chanjo na ugunduzi mwengine unaosaidia binadamu, kwetu jeshi linapambana na Raia kwenye vitega uchumi halafu utasikia mtu anasema mjiajiri..unajiajiri vipi wakati unacompete na serikali yako kwenye biashara ,serikali iendelee kutoa huduma tu huku kwengine waachie raia.
 
Back
Top Bottom