Huu uwekezaji kibiashara kwenye kambi zetu za JWTZ, nani kauruhusu?

Huu uwekezaji kibiashara kwenye kambi zetu za JWTZ, nani kauruhusu?

Vita haina macho pole maalum kwa wote waliopoteza wapendwa wao katika ile siku nyeusi kuliko zote katika historia ya Tanzania.

Jiulize ni kwanini Mange na Maria walishindwa kuwashawishi watanzania waandamane mwezi wa 12 mwaka jana na tarehe moja January, waliyaona madhara makubwa ya machafuko ambayo chanzo chake ni CHADEMA na siasa za 'kukinukisha'.
HAJASHINDWA KUWASHAWISHI WATANZANIA.WATANZANIA TUNAJIANDAA KUKIWASHA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA HADI HUYU BIBI ATOKE.
 
Ila hii nchi,yaan riz anataka kujenga sheli kwenye eneo la mnada(gulio)

Afu sjui masikin wanaojipatia kipato pale wakafanyie wapi shilughuli zao
 
Ila hii nchi,yaan riz anataka kujenga sheli kwenye eneo la mnada(gulio)

Afu sjui masikin wanaojipatia kipato pale wakafanyie wapi shilughuli zao

Ndo nchi yetu ilivyo, Hukuona ile The Voice iliyo chomwa imejengwa karibu na shule? Na ni kwamba ulikua uwanja wa shule.
 
Wananufaika watanzania wenzio ambao wamekodi hizo frames za biashara,na jeshi pia linanufaika.
Hata kambi za jeshi za America baadhi Zina bar na club kubwa.
Kuna jeshi zinamiliki mpaka timu za mpira wa miguu.
JKT Tanzania
APR ya Rwanda
 
Ndo nchi yetu ilivyo, Hukuona ile The Voice iliyo chomwa imejengwa karibu na shule? Na ni kwamba ulikua uwanja wa shule.
Yaan kuna vitu vinafosiwq mpaka sio poa,sheli unajenga kwenye eneo la shule kweli

Mwl.Nyerere aliacha open space nying sana kwenye hii miji yetu lakin mpaka leo hasa dar wameshazimaliza zote,
 
Back
Top Bottom