- Thread starter
- #101
Ndio haswa lengo la huu uzi,tufumbuane macho,tuone fursa gani za uwekezaji ni salama kwa kutunza na kuzalisha pesa zetu.Waajiriwa wengi wanakufa mapema kwa sababu ya kupigwa kwenye usimamizi toka kwa watu waliowaamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio haswa lengo la huu uzi,tufumbuane macho,tuone fursa gani za uwekezaji ni salama kwa kutunza na kuzalisha pesa zetu.Waajiriwa wengi wanakufa mapema kwa sababu ya kupigwa kwenye usimamizi toka kwa watu waliowaamini
Mkuu mimi nilifungua biashara,kwanza mtaji ulienda,gharama za uendeshaji zilikuwa zinatoka kwenye mshahara,kiufupi mimi ndio nilikuwa nahudumia ile biashara.Huna mda wa kusimamia achana kabisa na biashara ni Bora uishi kwa kipato hicho hicho kwa amani kuliko kulipia mkopo wa maumivu ya hela iliyopotea
UkwasiLiquidity ni nini boss?
Wasimamizi wanajelous sana na watu wa mshahara wanaamini wanapesa sana so lazima wakupigeMkuu mimi nilifungua biashara,kwanza mtaji ulienda,gharama za uendeshaji zilikuwa zinatoka kwenye mshahara,kiufupi mimi ndio nilikuwa nahudumia ile biashara.
Hakuna mtu ambaye yupo tayari afanye kazi akutafutie wewe hela wakati na yeye hana.Narudia mwajiriwa kama huna mda achana na biashara utapigwa?
Hii wanaweza watu weupe thus wao wana maendeleo na sio blacksHakuna mtu ambaye yupo tayari afanye kazi akutafutie wewe hela wakati na yeye hana.
Sasa mkuu tupeane mawazo,mishahara haitoshi,tunatokaje hapa tulipo?Narudia mwajiriwa kama huna mda achana na biashara utapigwa?
Sio kwamba biashara hautoboi shida ni mswahili chukua ndugu rafiki yako mpe asimamie mtoke wote jibu utalipata angalau wakinga,wachaga wapemba wana heshimu vya ndugu zao atakula lakini nawe utainuka.Sasa mkuu tupeane mawazo,mishahara haitoshi,tunatokaje hapa tulipo?
Nimeona wadau wengi wanaongelea sana UTT,wengine nyumba za kupangisha na viwanja,wengine ufugaji...Je hizo ni sehemu sahihi kuweka hela zetu?
chagueni moja utumishi wa uma au biashara acheni kuwaibia muda waajiri wenu,kwakufuatilia miradi yenu mkishawekezaMaisha ya utumishi ni mafupi hivyo ni heri kujiandaa na maisha ya kustaafu mapema.
Kipato vya wafanyakazi wengi ni kidogo sana hivyo kuna ulazima kuwa na kipato cha ziada.
Changamoto ya wafanyakazi wengi ni muda wa kufanya biashara na projects kama kilimo na ufugaji haupo na risk ya kupoteza hela zako ni kubwa kuliko kupata faida sababu ya usimamizi duni.
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa mfanyakazi, hauhitaji muda mwingi,risk ya kupoteza pesa sio kubwa na wenye faida ya kueleweka.
Naongelea vitu kama UTT, treasury bills na Bonds, Hisa kwenye makampuni ya kitaifa na kimataifa na fursa nyingine nyingi na nzuri ambazo mfanyakazi anaweza kujiingiza ili kutunza na kuongeza kipato chake.
Nafahamu humu ndani kuna wataalamu wa mambo ya uchumi na uwekezaji, kuna wawekezaji wakubwa na wadogo, kuna matajiri wa kutosha, njooni mtushike mkono tujue namna gani tunaweza kukuza vipato vyetu vidogo na kuingia kwenye utajiri.
Karibuni.
Unataka kuiba mishahara ya watu eheeKama wewe ni mfanyakazi na unataka kufanya biashara kubwa njoo inbox
Kuna mtu anasubiriwa kugeuzwa kuwa fursa hapa.Kama wewe ni mfanyakazi na unataka kufanya biashara kubwa njoo inbox
liquidity is to get your money whenever you need it or how quickly you can get your hands on your cashLiquidity ni nini boss?
bado huelewi tu watu wametoa mawazo hati page ya 7 sasa, jibu iliyonyooka anzisha biashara acha ajira kasimamie biashara yakoSasa mkuu tupeane mawazo,mishahara haitoshi,tunatokaje hapa tulipo?
Nimeona wadau wengi wanaongelea sana UTT,wengine nyumba za kupangisha na viwanja,wengine ufugaji...Je hizo ni sehemu sahihi kuweka hela zetu?
mkuu unaona ni wazo zuri mtu aache ajira yake,chanzo cha uhakika cha mapato aende kubangaiza sehemu mbayo haina uhakika? Tunahitaji vyanzo vya ziada vya mapato sio kupoteza kidogo tulichonacho.bado huelewi tu watu wametoa mawazo hati page ya 7 sasa, jibu iliyonyooka anzisha biashara acha ajira kasimamie biashara yako
Nimekuelewa mkuu.liquidity is to get your money whenever you need it or how quickly you can get your hands on your cash
Mkuu hakuna mtu anamuibia mwajiri muda,tuna haki ya muda wetu wa ziada,Nadhani unachanganya biashara na uwekezaji,mpaka sasa Biashara inaonekana ni mwiba mchungu kwetu,mawazo tunahitaji hapa ni ya uwekezaji.chagueni moja utumishi wa uma au biashara acheni kuwaibia muda waajiri wenu,kwakufuatilia miradi yenu mkishawekeza
Aweke mawazo hapa kama anayo.Kuna mtu anasubiriwa kugeuzwa kuwa fursa hapa.
Labda ana kitu mkuu,mkaribishe aje kushea hapa.Unataka kuiba mishahara ya watu ehee