Hii ni kweli mfano halisi ni me na mwenzangu kwasasa mapenz hamna kabisa, kila mtu hana muda na mwenzake imebakia tu kuambiana kila mtu aangalie mambo yake ndo kilichobaki.Sometimes huwa inatokea unamchoka mtu kwenye mapenzi Hadi unamtafutia sababu umuache for no reason hisia zako kwake zinakata
Bora uwe huru kuongea sasa.Yaaniii 😂 Mtusamehe!
Niko hapa naongea na simu namtwisha mtoto wa mama mkwe mood zangu.
Unae mchoka ana jini mahabaSometimes huwa inatokea unamchoka mtu kwenye mapenzi Hadi unamtafutia sababu umuache for no reason hisia zako kwake zinakata
What’s not happening… Umenikumbusha Boss wangu.Bora uwe huru kuongea sasa.
kuna zile mtt wa kike unaongea nae, anaanza mhhh, ndio, Sawa sawa, yani majibu short short wakat ni muongeaji sana tuu.
Ukimuuliza whats not happening, utaskia niko sawa.
Unabaki kujiuliza hii bata maji inashida gani