Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Hii ni kweli mfano halisi ni me na mwenzangu kwasasa mapenz hamna kabisa, kila mtu hana muda na mwenzake imebakia tu kuambiana kila mtu aangalie mambo yake ndo kilichobaki.Sometimes huwa inatokea unamchoka mtu kwenye mapenzi Hadi unamtafutia sababu umuache for no reason hisia zako kwake zinakata
Simuombi penz simtafuti nayeye saiv hanitafuti kila mtu mbabe,, sitaki kumtakia maneno ya kumuacha kwasababu nilimuahidi stomuacha namsubiri aseme mwenyewe tu