Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

Sometimes huwa inatokea unamchoka mtu kwenye mapenzi Hadi unamtafutia sababu umuache for no reason hisia zako kwake zinakata
Hii ni kweli mfano halisi ni me na mwenzangu kwasasa mapenz hamna kabisa, kila mtu hana muda na mwenzake imebakia tu kuambiana kila mtu aangalie mambo yake ndo kilichobaki.

Simuombi penz simtafuti nayeye saiv hanitafuti kila mtu mbabe,, sitaki kumtakia maneno ya kumuacha kwasababu nilimuahidi stomuacha namsubiri aseme mwenyewe tu
 
Yaaniii 😂 Mtusamehe!

Niko hapa naongea na simu namtwisha mtoto wa mama mkwe mood zangu.
Bora uwe huru kuongea sasa.

kuna zile mtt wa kike unaongea nae, anaanza mhhh, ndio, Sawa sawa, yani majibu short short wakat ni muongeaji sana tuu.

Ukimuuliza whats not happening, utaskia niko sawa.

Unabaki kujiuliza hii bata maji inashida gani
 
What’s not happening… Umenikumbusha Boss wangu.

Ndio tuko hivyo jamani.
 
Back
Top Bottom