Mtumie tuZa jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako.
Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni yao na mama yao, sikuwa napigiwa simu nilitumiwaga elf30 tu, na kipindi hicho nilikuwa nahihitaji support ya pesa ya ada ila walijikausha, wakaenda kununua eneo huko maporini hatimaye kumewashinda huko wamerudi huku Dar wamepanga.
Ndiyo huyu dada sasa ni mara nyingi sana ananitumiaga meseji za mara nimkopeshe hela mara nimsaidie mimi, anadhani nimesahau walichonifanyia, naombeni ushauri wenu huwa mnafanyaje kwa ndugu kama hawa.
View attachment 3429287
Mke mwema hadili na mchepuko, anadili na mumeweBasi nae acha ujinga msanue ukweli akikasirika akasirike tuu binadamu ni wajinga ukiwaendekeza.
Vipi wife material mbona unakuwa legelege? Kweli wee utaweza dundana ngumi na mcheps wa mumeo🤣🤣🤣🤣
Mbona yeye huwa hajali kuhusu mimi, ananiomba hela anajua nina hali gani kwasasaAcha roho mbaya huyo ni ndugu yako akikuomba hela mpe. Sharing is caring, ndugu siyo kufanana tu bali kufanana.
Akiombaga labda laki nampa elfu ishirini nakumwambia sina hela achukue hiyo TU na wala simdaiHivi huwa hawaonagi aibu watu wa hivi, na je kila akikupigia huwa unamkopesha?
Mweee unajidanganya...mwanaume anapiganiwa wewe acha ujingaMke mwema hadili na mchepuko, anadili na mumewe
Dah imagine dada yako anakuomba elf 5, elf 10 tena Kwa staha hivo alafu unakuja kumuanzishia Uzi kabisaNje ya mada,
Hivi mnaoanzisha mada za aina hii,hua mna uhakika gani kua hao mliowaanzishia hizi mada,wao sio member wa humu JF?
Afu nitaka nije nikuchumbie kumbe tena mchoyo nimeachaMke mwema hadili na mchepuko, anadili na mumewe
Hilo nalijua mkuu lakini mtu ambaye hata hali yako hajui yeye ni kukutafuta kwaajili ya hela tu, hapana acha apambane na hali yake mimi mwenyewe nina matatizo yangu hapaAcha roho mbaya mkuu.
Kumsaidia mtu ni tendo la ibada na kwa hakika mtoaji ni Mwenyezi Mungu
Atazoea na atazidi kuniomba mara kwa maraMtumie tu
Tena unaweka na chat zake kabisa in public!!Dah imagine dada yako anakuomba elf 5, elf 10 tena Kwa staha hivo alafu unakuja kumuanzishia Uzi kabisa
Mkuu, hawa ndugu zangu nikikueleza kwa urefu na mapana waliyonifanyia utatokwa machozi, acha tu apambane mimi mwenyewe nina matatizo yangu yananingojaAfu nitaka nije nikuchumbie kumbe tena mchoyo nimeacha
Hujui tu ndiyo maana unasema hivyo mkuuKumsaidia ndugu 5K, 10K haikuzui wewe kua tajiri.
Ibada njema huanzia nyumbani.
Usilipe ovu kwa ovu, utabarikiwa mara dufu.
Mkuu nikwambie Kitu Kutoa ni Moyo na wala sio utajiri kama ambavyo walisema wahenga😂😂Asante sana mkuu nitafanya hivyo maana imezidi anatuma meseji juu ya meseji ya mwezi huu haijibiwi hajiongezi mwezi mwingine anaongeza nyingine
Mimi siwezi kupigana na mwanamke mwenzangu kwasababu ya mwanaume maana utapigana na wangapi wanaume wenyewe hamtulii nyieMweee unajidanganya...mwanaume anapiganiwa wewe acha ujinga
Asante kwa ushauri wako mkuuM
Mkuu nikwambie Kitu Kutoa ni Moyo na wala sio utajiri kama ambavyo walisema wahenga😂😂
Yeye hakuwa ma moyo wa kutoa na wewe kama unao huo moyo ukiweza kusaidia msaidie ukiwa huwezi basi mpotezee usijibu sms zake au block namba yake
Yeye mwenyewe atajiongeza kama wewe ulivyojiongeza mwazo
Habari ka kumchana waachie Kina Chidi Benz
Sana sana utazidisha maneno kwa familia
Kama tayari uamuzi unao , hii thread umeleta ya nini?Hilo nalijua mkuu lakini mtu ambaye hata hali yako hajui yeye ni kukutafuta kwaajili ya hela tu, hapana acha apambane na hali yake mimi mwenyewe nina matatizo yangu hapa