Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

1.Kijana alikua mpole, 2.nyumbani anashinda na mama na dada, 3.muv haangalii sana akiangalia atangalia muv za mama na dada.
MAJIBU YA MASWALI YAKO
1. Dogo alikua mpiga nyeto. kapata demu(mboso_amepotea)
2. Alikua na tabia nzuri akitegemea kuna jambo kama familia mta mpa lakini ikawa kinyume na matarajio yake
3. Balehe inamsumbua
4. Amekutana na makundi ya hovyo
5. ONE MAN DOWN, ...I REPEAT ONE MAN DOWN...WE NEED BACK UP...OVER
 
Sijaelewa hapo kwamba kuna jambo alitegemea tumpe🤔
 
Fanyeni kila namna muwahi kituo Cha police muombe msaada watawasaidia kumdadisi na kujua undani wake kabla hajaharibikiwa kupitiliza.

Wewe na mama yako kwakuwa ni wanawake hamuwezi kumdhibiti kwa umri huo kwasababu mmeshachelewa ilibidi muwe naye karibu tangu bado mdogo
 
Itabidi tufanye hivyo mkuu,,, maana sasa tunawasiwasi mda wa kwenda shule unakaribia asije akakataa na kwenda shule tena hali ikawa mbaya zaidi🤔🤔
 
Mmh[emoji17][emoji2356]
Na anakuwa mjeuri halafu mkali kwelikweli. Mvulana huwa hivi anapokuwa kwenye mazingira ya penzi la kujiachia (huru) kuwa na mwanamke. Anajiona amekua ,hataki kuhojiwa hasa na mwanamke hata awe mkubwa kwake anamshusha thamani kwakuwa keshaona na kuonja na kula kei yake.

Ni kama baba awe na mahusiano na msichana wa kazi za ndani (house girl) ni lazima mama atadharauliwa na house girl kwakuwa anajiona Hana tofauti na mama kwasababu anachopewa mama na yeye (house girl) anakipata.

Nafikiri ni suala la uasili wa binadamu (human nature)
 
Adolescent stage
Dogo kesha pewa utelezi uko ana teleza hatari
hizo dawa si ajabu ni matokeo ya kupiga kavu pu**y mtelezo si ajab dogo alikua ana jitibu Std's

yawezekana ame onja kijiti kina mpeleka puta hivi sasa

Mfatilieni kwa ukaribu hata kupitia rafiki zake bila yeye kujua mtajua tu
Mzee mwacheni anaelewa kijana wake kesha anza kulamba lamba nyuchi uko
 
Mbona unanitisha mkuu🥹,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi 🤔, mbona bado mdogo jamani 🥹🥹
 
ww ndo hujui kilichomfanya awe ivo baba yake anajua fika na mama yake anajua fika na ndo maana anakuwa na wasiwasi kubwa kuwa mtoto anaweza kujiangamiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…