Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

I know prida Bichwa huwa ana comment vya maana sana, she/he to cool for nonsense ni vile anajitoaga ufahamu mpk anchekesha

Kwamba poop detector? 😂 Dah hapo umetupa jiwe gizani..

Sure thing, I feel that too jamaa inabidi awe anachangia madini tuu na sio poop.
. She's he and she at the same time
 
Kwa heshima nakuomba usiwe unanikwoti tena kwa kunihusisha na hawa watu wako.Nilikukwoti wewe sbb nakuheshimu.Iam too old and classy for this.Asante.
Why? Mbona si ungenambia tuu kawaida kuna issue? I respect you too prida.
Old is gold na I appreciate you
 
Hahaha bado umeniacha ila sawa
Kuwa life la uhalisia bovu kupita usanii
 
He wasted all his carrier age kwa kujitangaza
Mikataba Yao ndio unavyotaka

Industry ya movie za Hollywood tangu miaka ya mwanzoni mwa 2000 ilikuwa imesha ingiliwa na Hilo jinamizi la kutangaza ushoga na usagaji

Kuna series niliicheck juzi aiseee ule ni uchafu nikona niifute kabisa pumbavu

Though ni serious ya 2006 imagine!!
 
Kumekucha, Kumekucha (in king's majuto's voice)
 
Unaitwaje huo upumbavu?
 
Ndio maana wengine wanahusisha movie industry with satanism.
 
Yaani bora umenisifia, maana nilishajipanga kukushukia kama mwewe.

Kwa hili, nashusha silaha chini.

Tukutane kesho asubuhi.

Cc: secretarybird
 
Kiumbe chenye jinsia she na he huku kwetu tunakiita It au kwa kifupi tukichanganya she na he na it tunarahisisha kwa kusema SHIT.
So hiyo ni jinsia shit.
You feel me?☺️

Hatuwezi mpangia eti achangie madini tu akati hobby yake ni mavi.Katiba inamruhusu kuchangia chochote mradi havunji sheria.Ni mm tu kukwepa nisione anavyochezea na kufurahia mavi.

Uzuri naijua saikolojia ya mapunga.Mfano hapa si kajua mimi nisiyependa mapunga nipo,basi atazidisha comment za manjonjo ya upunga mradi tu anikere zaidi.Sasa na mm naukimbia 🏃‍♂️‍➡️huu uzi nisimuone coz kila nikikutana na bichwa huwa natapika.Sipendi kabisa kukutana na bichwa na wen wenzake.
 
Ila nimegundua prida ww mbaya sana unaweza mfanya mtu a date kwa michambo

Kwamba yeye ni SHIT

Ofcourse ni yeye na maisha yake

Wenzake? Wakina nani hao tuwajue maana ipo siku na Mm naweza bananishwa😂

Ila Seran rafk angu ulimfanya vibaya sana daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…