Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

nimemquote scofield kwenye ile scene ya scylla cards iangalie tiktok
Oyaa una kumbuka jinsi jamaa mastermind alivyo fikia hatua mpk ya kufanya kazi na gvt kwa nia ya kuipata scylla? Ikafika hatua mpk madam president akajiuzulu kisa itajulikana kuwa yule ndugu yake yu hai.. Na bado mchizi akawageuka mpk serikali wakachukua fake card..

Asee jamaa alikuwa kichwa.... Sema nn lazima nimalize tu hata kwa kuchelewa
 
Ile mission ya kutafuta acylla ndo alikufa yule police big...
Ile mission ilikua sio poa aiseee
Ile mission imetaka kufanana kama ya tom cruise kwenye mission impossible sijajua ya ngapi ila aliingia sehemu ambayo daaah aiseee so poa
 
Sasa ukitoka hapo fatilia
Money haist
Breaking Bad
Alafu ukitaka udate zaidi kwa conspiracy theory kaangalie the LOST
 
Ile ya kwenye lile tank la maji sio?
Sema lile big lilikuwa linavimba kipind wapo gereza la kwanza, alaf lilikua pungu Kweli, eti umri wote huo bado linaishi na mama yake, hata shangazi limekosa boya kweli

Liliwasaidia sana pale maana wange feli tu maji yange wamaliza..
 
Yaaah ilibidi ajitoe tuu maana kule sona walimsaidia sana bila kina michael big alikua na hali mbaya
 
Sasa ukitoka hapo fatilia
Money haist
Breaking Bad
Alafu ukitaka udate zaidi kwa conspiracy theory kaangalie the LOST
Money heist sijaielewaga sijui why au labda niliangalia kwa haraka tu episode moja

Breaking bond ikoje? Maana Mm kuchek kitu mpk nikifatilie nijue kikoje? Niangalie reviews alaf ndo nianze kuinvest muda kuangalia
 
Yaaah ilibidi ajitoe tuu maana kule sona walimsaidia sana bila kina michael big alikua na hali mbaya
Kweli kabisa jamaa lilikua kama kichaa likakonda😂 kuna yule msenge(T_bag) aliye katwa mkono na Michael jamaa alikua chawa sana kipind wako sona🤣🤣
 
Money heist sijaielewaga sijui why au labda niliangalia kwa haraka tu episode moja

Breaking bond ikoje? Maana Mm kuchek kitu mpk nikifatilie nijue kikoje? Niangalie reviews alaf ndo nianze kuinvest muda kuangalia
Money heist hata mi nilikua sielew but nilivotulia ndo nikajua kweli wale jamaa wapo matured kwenye kutengeneza 🍿 movies

Breaking bad ni ishu ya jamaa ticha wa chemistry ambaye alikua anafundisha collage flan hv. Ila katika harakt zote hizo alikua na life bovu kinoma hv huku na kule akaingia Katika utengenezaji wa mdawa (methyl) .... Ni bonge moja la movie rate yake ni kubwa sana inafika 9/10 nahis
 
Jamaa aliishi maisha fulani ya upweke hata hiyo character ni kama ilikuwa bahati kwake cause alikuwa anakataliwa sana kwenye baadhi ya kazi kuwa kama muhusika mkuu. So, huyo director wa PB alivutiwa na jamaa kutokana na alivyo na director alihitaji mtu wa aina hiyo kufit kwenye nafasi hiyo. Hata ngoma ya Mariah Carey-We belong together huyo director aliingoza hiyo video pia alimuweka jamaa kwenye video. Nilisikia pia jamaa hiyo nafasi yakuigiza kama Straight male kwenye PB alikuwa haifurahii sababu ilikuwa inaficha uhalisia wake kwamba yeye ni shost na ndo maana wanasema alihairisha kuendelea na Season 06 sababu hapendi uhusika wa kuigiza mwanaume lijari unaoficha uhalisia wake kwenye jamii, anataka jamii imtambue yeye ni nani na siyo kuigizia.
 
Mimi binafsi nimeacha kusikiliza nyimbo zao maana watoto wako hatakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…