Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Conspiracy theory ya the lost ina husu nini?
Oky sasa kama ww unapenda mambo ya conspiracy sijui ishu za time traveller na mengine utapata humu.. uzuri hakuna madude dude ya ajabu kama wanavyofanya. Kuna marvel

Hii movie shortly inahusu kupotea kwa ndege ambayo ilianguka kwenye kisiwa flan hv. Huko wakakosa signal na njia ya kurud makwao

Mda huo huku uku mtaan watu tunajua ndege ilishapotea na tishazika tayar.
Mtiti unaanza huku kisiwani kisiwa kina mambo mengi sana sana.. nayo hii ni kali ila ndefu ina seson tisa kama sio sita hvi

Pacha wa hii inaitwa La Brea
 
Sema mkuu una ukorofi ndani yake..
The way unahadithia daah naona kabisa jamaa we jau et """ alikuwa haifurahii sababu ilikuwa inaficha uhalisia wake kwamba yeye ni shost""" 😄😄😄😄
 
Sema mkuu una ukorofi ndani yake..
The way unahadithia daah naina kabisa jamaa we jau et """ alikuwa haifurahii sababu ilikuwa inaficha uhalisia wake kwamba yeye ni shost""" 😄😄😄😄
Hamna mkuu 😁😁kama unakumbuka mwaka 2013 aliukataa mwaliko wa kuhudhuria tamasha la Filam inchi Urusi na ndani ya barua aliandika,
"As a gay man, I must decline. I am deeply troubled by the current attitude toward and treatment of gay men and women by the Russian government."
Jamaa ni shost na anasema ameishi miaka mingi akijifichaficha kwa kuogopa jamii itamchukuliaje na hasa kazi yake ya kuigiza ingeharibika haraka kama angefunguka mapema kuhusu uhalisia wake ulivyo. Yawezekan Hata alivyokuwa akimbusubusu na kumkumbatia Sara kwenye PB alikuwa anakereka wakati sisi tunamuonea wivu😁
 
😄😄😄😄😄😄Daaah nahisi mkuu hizi habari ulikaa nazo mda merefu sana. Na leo imekua siku ya furaha sana kwako baada ya kuona kuna uzi hapa umeamua kutema madini yote..

Kwahyo mkuu kumbe jamaa ile character alikua anaumia sana an sawa sawa na mwigizaji wa kiume kama vishu mtata akipewa character ya kike... The way jamaa alikua ana umia 😄😄😄😄😄🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
😁😁😁jamaa angepewa Character ya ushoga angeifurahia maana wangekuwa wamempatia kwelikweli. Angepewa Scene na T-Bag angefurahia zaidi.
 
N sawa na kujiuliza, Kwann mtu n rais mtu ambaye ana maamuzi makubwa kwenye nchi anaweza kwenda kwenye tume ya uchaguzi na kuamuru yeye ndie achaguliwe tena, ila badala yake anaongezea na kuua na kuteka wapinzani?

So kwenye kila zuri hapakosi baya lake hapo hapo kwenye uzuri wake.
 
On a serious note, kama kuna kitu sikielewi ni issue ya ushoga, Sielewi moja wala mbili A wala B yake.

Mi nilisema tu aka niliropoka based on how down you looked on michael baada na kabla.

Lakini nimemsoma member mmoja huko juu amesema michael was misquoted.. is it?
 
ANaitwa nani huyo girl friend wake
 
Mimi nimekuja kugundua ya kuwa Movie karibu zote kubwa za kimarekani zina theme ya Ushetani ndani yake

Fatilia kwanzia PB, Breaking Bad, Into the Badlands, Designated Survivor, GoT nk zote hizo zina Ushetani mwing Sana. I guess hao ndo wanasponsor hzo Movies na lengo kuu ni kupoison the society.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…