Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

Uandishi wako huwa ni kichefuchefu sana, mkanganyiko na conspiracies za kutosha.

Nani ni wamiliki wa Aramco na Abu Dhabi National Oil Company (ADNOC) ??

Unafahamu sovereign wealth funds kubwa zaidi za kinchi zinazomiliki mabilioni ya $dola ni za nchi gani??
 
Hata huyo muarabu hana jipya, hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na huyo huyo mzungu ndiye mwenye teknolojia ya kuyachimba, muarabu amekaa kupokea tu na kuvaa kobaz huku akifadhili ugaidi wa dini.
We umekulia Kibera kwenye flying toilets
Zaidi ya chuki huna jipya tumekuzoea
Watu wanaongelea walipo na sisi tulipo wewe unaleta udini
Hiyo kibera mnaingiza ngapi kwa mwaka kutoka kwa watalii?
Imagine mtu anakuja kuona binaadamu akinya kwenye mifuko ya Rambo na kuitupa nje
Hivi una nguvu hata ya kuandika haya ukijua kuwa utamaduni wako ni wa kunya kwenye mifuko
 
Botswana ina raia milioni 2.5
UAE raia wake wenye uraia ni milioni 1.5, wengine wageni.
Vipi Equatorial guinea na Gaboni mbona zina raia wachache na jographia ya nchi zao ni ndogo lakini bado ni masikini wa kupindukia?

Vip kuhusu Saudia Arabia yenye watu wengi mbona imeweza kuendelea ?
Mm nadhani waafrica tuna matatizo tu.
 
Mm huyo msenge nilisha mpiga ban zamani.
 
Uandishi wako huwa ni kichefuchefu sana, mkanganyiko na conspiracies za kutosha.
Nani ni wamiliki wa Aramco na Abu Dhabi National Oil Company (ADNOC) ??
Again as usual you are never the one for a bigger picture.... Ni nani anayeweza kuamua the prices zinakwenda vipi zaidi ya Seven Sisters ?!!! Case in Point check hapo chini Article from Business Times....

Yaani kama De Beers alivyo King of Diamonds basi Seven Sisters ndio Alfa na Omega wa Oil Business.... (Ushauri always look at a bigger picture)

 
Shida ni kuwa sisi waafrica tupo kupata sisi/binafsi na sio jamii yetu ipate. Leo ukiangalia africa ina madini kuliko bara lolote lkn je yanafaidisha nn waafrica au yana vunwa na waafrica..? Jibu n hapana majamaa/viongozi wameuza madini kwa maslahi ya matumbo yao na visingizio vya teknolojia na umaskn huku wao wakifinya mabilion
 
Jamii forum ni burudan tosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi Equatorial guinea na Gaboni mbona zina raia wachache na jographia ya nchi zao ni ndogo lakini bado ni masikini wa kupindukia?

Vip kuhusu Saudia Arabia yenye watu wengi mbona imeweza kuendelea ?
Mm nadhani waafrica tuna matatizo tu.
Equatorial guinea na Gabon sio wazalishaji wakubwa wa mafuta, mafuta yao ni ya kiwango cha kawaida tu halafu bado yanaibwa na mafisadi.

Saudi Arabia ina raia milioni 35 na nchi yao ina ukubwa wa mara mbili na nusu ya Tanzania.
 
Usiende mbali, tazama Angola, EQUATORIAL GUINEA, DRC....
TUNA LAANA!
Africa hatujalaaniwa

Hatujiamini tu.

Unasemaje umelaaniwa wakati umepewa kila kitu??

Wazungu ni waongo na wamefanikiwa katika kutujaza ujinga na huwa wakiona tunakaribia kushtuka wanaturudisha kule kule.
 
Vipi Equatorial guinea na Gaboni mbona zina raia wachache na jographia ya nchi zao ni ndogo lakini bado ni masikini wa kupindukia?

Vip kuhusu Saudia Arabia yenye watu wengi mbona imeweza kuendelea ?
Mm nadhani waafrica tuna matatizo tu.
Unachopaswa kufahamu uarabuni kuna ufisadi mkubwa sana tu, hayo mafuta na gas ni sawa na mali binafsi tu ya hizo falme ila kwa sababu utajiri wao mafuta na gesi ni mkubwa mno kupitiliza watawala wanachota kiasi wanachojisikia na bado zinabaki pesa za kutosha kufanya maendeleo na kuweka akiba ya kitaifa ya baadaye(sovereign wealth funds).

Utajiri binafsi wa mabilioni ya falmia za kifalme uarabuni ni pesa zinazochotwa kutoka sekta ya mafuta na gas ya nchi hizo wala sio juhudi zao binafsi za kutafuta pesa kwa kufanya kazi kama mabilioni wa Magharibi, China, Africa n.k

Utajiri wa Al Saud Family, Al Nahyan family, Al Thani Family n.k ni wamejichotea tu pesa za mafuta na gesi za nchi zao kwa sababu wao ni watawala na rasilimali zote za hizo nchi ni kama zao tu binafsi.
 
Hata huyo muarabu hana jipya, hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na huyo huyo mzungu ndiye mwenye teknolojia ya kuyachimba, muarabu amekaa kupokea tu na kuvaa kobaz huku akifadhili ugaidi wa dini.
Umezaliwa Kibera,umekulia Kibera kwenye slums,kila siku unavuta kila aina ya harufu,mpaka imekuletea shida kichwani,

Toka usingizini usije kuwapa watu wengine kazi ya kukulea uzeeni,muda haumsubiri mtu,hizi comment za chuki hapa JF haziwezi kubadili ur life on the ground,

Dunia ni pana sana,toka hapo dampo Kibera uone Dunia,fungua akili yako,Dunia inaenda kasi sana ila wewe akili yako imezama kwenye tope tu for so long.
 
Africa haina mengi madini kuliko mabara yote, Hata hivyo Africa ina rasilimali za kutosha ambazo kama zingesimamiwa vizuri zingeweza kuikomboa kabisa kutoka katika umasikini, ukiwa na akili za kutosha hata bila kumiliki madini, mafuta na gesi unaweza kuendelea tu, Mfano mzuri ni Singapore, Korea Kusini, Switzerland na Israel.
 
Dah
Nimelia sana
 
Mkuu hayo mabara ya ulaya asia na america lipi bara moja wapi linalo izidi africa katika madini ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…