Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

Tujiulize toka Mwadui ilipojulikana ina Almasi tumefaidika nini hasa?!
Bure kabisa kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬 🤬 🤬 🤬
 
Africa hatujalaaniwa


Unasemaje umelaaniwa wakati umepewa kila kitu??

Wazungu ni waongo na wamefanikiwa katika kutujaza ujinga na huwa wakiona tunakaribia kushtuka wanaturudisha kule kule.
Ukishasema umepewa halafu ukashindwa kutumia hapo sababu hazitazidi mbili,ni either umelaaniwa kwamba hutapata fursa ya kufurahia kile ulichopewa au akili kichwani za kuendeleza kile ulichopewa huna na Waafrika tumedondokea hapa.

Mimi sijawahi kumuona mzungu akija kupora ardhi ya kwetu wala akipora kodi zetu ninachoona ni viongozi wetu (waliojipachika uongozi) ndiyo wanawauzia/wanaowapa mikataba mibovu inayotunyonya.
 
Kinachofanya waaraby wawe matajiri sio ule uarabu wao hapana.
Bali ni sheria za uislam
.......ndio mana Algeria,Tunisia,Egypt zinazidi mbali sana nchi za watu weusi.
Yes!ndio maana Zanzibar ni eneo lenye watu chini ya milioni 2 ndani ya Tanzania,lakini limeendelea kuliko eneo lolote kwenye hii Dunia.
Yes ni uislam ndio unatama haki,mukiwa na Mali,mugawane wasiwepo wanaolala njaa ama awnaaoshindwa matibabu,.....na hii ni kwa nchi zote za kiislam,......elimu,maji,chakuka sio anasa ni haki.
Uislam hauwezi ruhusu eti umchangie kiongozi wa dini ale Bata huku akikubariki nawe uwe tajiri😃😁😃,
-----kuwa muchange michango ya kujenga shule kisha muje kulipa ada Tena,,😆😃.
 
Afrika Kwakweli kuna shida siyo kidogo.
eneo tunalo, rasilimali tunazo za kkutosha lakini hatujafanya maajabu yoyote.
Tunasaidiwa na viinchi vya ulaya kwa hali na mali, ambapo vingine havina ukubwa hata wa kuzidi baadhi ya mikoa yetu hapa nchini.
na pengine havina hata natural resources kama nchi yetu.
Afrika ni kama kuna laana
 
Yes umenena vyema.........shida sio uarabu bali ni uislam.
Wazanazibar wanadharaulika kua hawajasoma,ila mtu akipewa rifaa kutoka bukoba kwenda muhimbili atatibiwa ila sio Bure ila mzanzibari matibabu ni bure😁😁😆
Umenena vyema kuhusu wazanzibari wanavofanya fukwe zao kwa maendeleo yao,.........**Uislam**unataka haki, na haki ndio utajiri wenyewe,na haki haipatikani kwa kutoa sadaka ili wanaune wenzenu wazitumie,....haki hupatikana kwa mtutu wa bunduki,
Unapoona Sudan watu wanauwana ninyi munasema waislam magaidi😆😀😅😀
Unadhani mzungu atarurahi siku kuiona congo raia wameungana kuwafukuza?
Hiko ndicho munachosema waarabu ni magaidi na huo ugaidi ndio utajiri wenyewe,.......Iraq imepigana vita miaka 20 Leo ina uchumi mara 4 ya Kenya😃😄
 
Obvious ni nchi za kiislam✍️✍️
Afghanistan imepigana vita miaka 20,na Ina reserve kubwa ya madini adimi ambayo hajaanzwa kuchimbwa............Ile kutaka haki kwenye uislam hufanya nchi kubaki na Mali zake na zigawanywe Kwa raia wake?
So what leo Tanganyika itakua masikini milele na milele sababu mali zake imewaachi wazungu, while Zanzibar hawajaanza kuchba mafuta yao na gesi,wanasubiri better deal,.....subra ya uislam ni baraka
 
Ukweli mtupu huu mkuu
 
Umeongea point sana mkuu,.................nchi kama Saudi Arabia....ile kua islaic country,ukila rushes,umekamatwa na unga,umetomba ovyo,kifo nje nje ,inafanya raia kua serious na maendeleo yao,........watu hawawezi kuwaza ujinga,sababu haki imetawala,.
Issue ya elimuz bila dini ya kutaka haki ni upumbavu............mtu anasoma anakua kiongozi wa dini, ila anakusanya sadaka anzituma njeya nchi ka kigezo eti makao makuu😁😀😆😆,huu ufala kwenye uislam haupo,utavuta ulichopanda hata kaama unakesha msikitini
 
Equatorial guinea na Gabon sio wazalishaji wakubwa wa mafuta, mafuta yao ni ya kiwango cha kawaida tu halafu bado yanaibwa na mafisadi.

Saudi Arabia ina raia milioni 35 na nchi yao ina ukubwa wa mara mbili na nusu ya Tanzania.
Hata UAE hazalishi mafuta mengi kama mataifa mengine ina mafuta ya kawaida.
 
Afrika kiukweli tumelaaniwa tuna uwezo mdogo mno kama utajiri tuna utajiri kuliko hata hao waarabu ila sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo mno
 
Tuendelee kugegedana tuu mwanawane. Suala la kufikiri tuwaachie wazungu
 
Hata UAE hazalishi mafuta mengi kama mataifa mengine ina mafuta ya kawaida.
Ni ya nane kwa uzalishaji mafuta duniani, ya sita kwa uzalishaji gas duniani, ya kwanza kwa uzalishaji gas uarabuni na ya tatu duniani kwa akiba kubwa ya gas iliyogunduliwa mpaka sasa.
 
Hata huyo muarabu hana jipya, hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na huyo huyo mzungu ndiye mwenye teknolojia ya kuyachimba, muarabu amekaa kupokea tu na kuvaa kobaz huku akifadhili ugaidi wa dini.
Sasa sisi afrika tunapokea nini na tunafadhili kitu gani zaidi ya kuomba mataifa ya nje yatusaidie kujenga mashimo ya choo?
 
Tatizo waafrika wengi wanaendekeza njaa mtu akishakuwa kiongozi basi anawaza kupiga hela na kuwasahau wananchi wengine. Imagine Tanzanite ipo nchi yetu peke yake lakini India ndo wanaoongoza kwa mauzo.
 
Watanzania tuchukue hatua la sivyo mtaendelea kulalamika hivyohivyo ya kuwa tumelaaniwa wakati mnarasilimali, maeneo makubwa na vijana wa kutosha. Tuchukue hatua dhidi ya viongozi wanaokula keki ya taifa.
 
Hatari sana, matajiri wengi wa kiarabu pesa ipo mfuko wa shati, utadhani wanaokota tu njiani...Hatuna excuse yoyote ile sisi Tanzania, kama the so called amani tunayo, resources zote hizo pia tunazo hatujui cha kuzifanyia zaidi ya kupiga cha udalali.
 
Ukiwa Afrika unapaswa uzingatie mambo yako yanakwenda vizuri. Wewe shukuru una uhai na afya njema mambo yako yanakwenda vizuri basi. Kuwaza hayo ulio andika barani Afrika ni kujichosha tu, Bara zima lina viongozi na raia wa hovyo. Haiwezekani utajiri wote uliopo Afrika tushidwe kuutumia kwa manuu mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…