Wadanganye wajinga wasiojua Rhumba , Fally hampati Ferre hata kwa namna gani , Kwanza Fally ana style moja tu ya kuimba kiasi ambacho amekwisha chuja vibaya sana , ferre gola ni mtaalam wa sauti na anaweza kuimba sauti ya mwanamuziki yeyote unayemjua dunia , mpangilio wa Rhumba ya Ferre gola ni wa kipekee , huyu ni fundi hasa wa Rhumba
Ndo iko hivo mkuu utakataa lakini ndo ukweli fally unampenda kutokana na ile amsha amsha yake ila gola anaroom yake na kina madilu huko
Yaani wewe unaleta mambo ya Redio one ya Nani zaidi kati ya Madonna na Hadija kopa , Hadija Kopa alishinda kwa kishindo , kwa sababu wapiga kura walitoka MbagalaWewe utakuwa na matatizo ya kiakili siyo Bure,yaani umfananishe mwanamuziki bora wa kongo kwa miaka 15 mfululizo na huo uchafu?
Binafsi namkubali fally ipupa zaidi, halafu kuwalinganisha kina fally na kiba barnaba ambao ndio kwanza walikuwa wanafunzibwa tht, wale walitafutiwa connection tu nao watokee kwenye jukwaa kubwa pale. Hata sasa kina barnaba hawakai jukwaa moja na fally, ndio itakuwa kipindi hicho wanafunzi, wakati fally kaishazunguka saana na mzee mopao
Mkuu UMUGHAKA nyimbo za fally zinafanana ryhthm unasikilizaje mziki mzee hahahahaNimekuomba ufanye nilivyokutaka,umeshindwa!.
Fally Ipupa ni habari nyingine wewe!.
MUOGOPE SANA MSANII ANAYEIMBA NA KUCHEZA MASAA 5 BILA KUPUMZIKA NA ENERGY ILEILE ALIYOANZA NAYO!
MUOGOPE SANA
Yaani wewe unaleta mambo ya Redio one ya Nani zaidi kati ya Madonna na Hadija kopa , Hadija Kopa alishinda kwa kishindo , kwa sababu wapiga kura walitoka Mbagala
Hivi ni Kukaririwa au ni Kukaliliwa yako?Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?
Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.
Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi ya QUARTIER LATIN ambao sitoweza kuwasahau ni Fally Ipupa,huyu mtu amebarikiwa kipaji cha aina yake katika muziki,bila shaka ukimtoa Marehemu Papa Wemba na mimi,basi atakuwa anafuata yeye"
Kwa maneno hayo ya Mkongwe na Gwiji la muziki wa Dansi na Rhumba kutoka Africa bila shaka Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.
Lakini mimi mkongwe na wakongwe wenzangu tunaomfahamu Fally Ipupa toka Enzo hizo akiwa Stage Show na Rapa wa Koffi Olomide kutoka bendi ya QUARTIER LATIN wala hatushangai namna alivyo hatari!
Vijana niwapendekezee tu,kama humfahamu Fally Ipupa hebu nendeni karudieni show aliyoifanya Dar es salaam mwaka 2009 ndo mtaelewa ni mtu wa aina gani!(Nendeni YouTube huko mtaikuta hii show)
Kwenye ile show walipanda wasanii wenu mnaowaaminia Amini & Barnaba wakaimba wimbo unaoitwa KIDIAMFUA,aiseee nilicheka sana maana wale wasanii wenu ni kama walikuwa wanaigiza siyo kuimba😂,hapa ndipo nilijua hakuna msanii kitoka Tanzania anayejua kuimba bali huwa ni wababaishaji tu!
FALLY IPUPA acheni kabisa kumlinganisha na watoto wadogo katika muziki!
Bongo hawajui muziki kwa sababu ya dhiki , wala hawapati nafasi ya kufuatilia rhumba , wanamuziki wa Congo hawaji bongo , nenda Nairobi ukaulize huu utopolo wako usikie majibu yakeIngia tu hapo mtaani kwenu waulize Vijana wapatao 10 kati ya Fally Ipupa na Fere Golla wanamkubali nani halafu wakupe majibu!
Bwa mdogo,Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.
Bongo hawajui muziki kwa sababu ya dhiki , wala hawapati nafasi ya kufuatilia rhumba , wanamuziki wa Congo hawaji bongo , nenda Nairobi ukaulize huu utopolo wako usikie majibu yake
Faly Pupa wa kawaida sana kwa Fere Golla....Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?
Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.
Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi ya QUARTIER LATIN ambao sitoweza kuwasahau ni Fally Ipupa,huyu mtu amebarikiwa kipaji cha aina yake katika muziki,bila shaka ukimtoa Marehemu Papa Wemba na mimi,basi atakuwa anafuata yeye"
Kwa maneno hayo ya Mkongwe na Gwiji la muziki wa Dansi na Rhumba kutoka Africa bila shaka Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.
Lakini mimi mkongwe na wakongwe wenzangu tunaomfahamu Fally Ipupa toka Enzo hizo akiwa Stage Show na Rapa wa Koffi Olomide kutoka bendi ya QUARTIER LATIN wala hatushangai namna alivyo hatari!
Vijana niwapendekezee tu,kama humfahamu Fally Ipupa hebu nendeni karudieni show aliyoifanya Dar es salaam mwaka 2009 ndo mtaelewa ni mtu wa aina gani!(Nendeni YouTube huko mtaikuta hii show)
Kwenye ile show walipanda wasanii wenu mnaowaaminia Amini & Barnaba wakaimba wimbo unaoitwa KIDIAMFUA,aiseee nilicheka sana maana wale wasanii wenu ni kama walikuwa wanaigiza siyo kuimba😂,hapa ndipo nilijua hakuna msanii kitoka Tanzania anayejua kuimba bali huwa ni wababaishaji tu!
FALLY IPUPA acheni kabisa kumlinganisha na watoto wadogo katika muziki!
Hilo goma ni kitu ingine hata kama huna pumzi inakuja gaflaWeka 100 Kilos