Bwa mdogo,
Fally yuko vizuri,sawa.
Koffi olomide ni mjomba wake unajua walichogombana?
Hujui.
Kasikilize pharmacien.
Nakusimulia hapa.
Fally alikua na mjomba wake wakaenda kutafuta nyota.
Mopao akamtanguliza huko kwa sangoma.
Fally anashtuka kamuua mama yake.
Congo yote ikamkataa.
Kaja huku kueleza marafiki zake siri ikawa nje.
Quartier late ikafa ingawa ipo.
Waimbaji wote wakakimbia ukitaka list ntakupa.
Fally hajawai kuwa rapa wa koffi.
Rapa alikua korrosiene,fabrigado badae.
Ferre
Huyu kwasasa huwezi kumfananisha na Fally.
Yuko mbali sana.
Mziki anaimba na Show zake si za kitoto.
Fally yupo ila Ferre ni habari ingine.
Na humjui Ferre wewe kaanza kuimba na uchawa Wenge Becebejee(BCBJ)
Toka mwaka 94.
Kwasasa mziki wa Ferre ni unachezwa dunia nzima.
Google Ferre Rotana live2013
Ndio utajua hujui.
We lete story za kutafuna misukule.
Miziki tuachie tuliozaliwa humo.